Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Wataje tu mkuu,wamiliki wa Nyumbani Park aka Samakisamaki au?kuna kipindi walitikiswa lakini last time nimeenda Moro nikawakuta wanakula maisha tu.

Inasemekana jamaa amewahi kufungwa jela za Brazil yeye na mkewe..
Duh....
F na f.k
Wale wmeishi sana Brazil
Ila sjui kama wanafanya kwa sasa
Naona wamezidisha kupaboresha hpo
Ila wanacheza na mkopo wa bank

Ova
 
Ila machapta naona kaamua kuhamishia familia china kabisa
Anajua akirudi kifuatacho.... Mamaake bado yupo na anavyojua kujishebedua. Kuna siku nilikuwa nae wakapita mateja wameiba boga sokoni akawa anajiongelesha nikamtizama huku najiambia si ndo wateja wa mwanao hao unadhani hili Bata unalo kula linatoka wapi waungishe boga Hilo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Duh....
F na f.k
Wale wmeishi sana Brazil
Ila sjui kama wanafanya kwa sasa
Naona wamezidisha kupaboresha hpo
Ila wanacheza na mkopo wa bank

Ova
Hawawezi kuacha mkuu,wana mapunda kibao wale sema ni wajanja tu.Pia jamaa ana mdogo wake nasikia anaishi South ni Don hasa wa hizo mambo na ndio operator mkuu kwa sasa.
 
Hawawezi kuacha mkuu,wana mapunda kibao wale sema ni wajanja tu.Pia jamaa ana mdogo wake nasikia anaishi South ni Don hasa wa hizo mambo na ndio operator mkuu kwa sasa.
Duh nawajua vzr sana tokea huyo dem akiwa anaishi manzese hpo
Kuna yule dj maarufu F ni mtoto wa dada yke...
Kuna siku nlikuwa hpo f&mme wake wakaondoka na mahesabu Kufika home walivamiwa wacha wachezee mapanga

Ova
 
Kumbe ilikuwa hivyo na ilivyosemekana unga waliwekewa tu hivi kile kigrocery pembeni ya saloon ya remina bado kipo

Hivi yule mama fatm mtambo kakamatwa kwa issue gani jamani ameisha anatembelea fimbo kazeeka Mungu amsaidie tu jamani
 
Na yule kurudi sio leo wala kesho
 
Kumbe ilikuwa hivyo na ilivyosemekana unga waliwekewa tu hivi kile kigrocery pembeni ya saloon ya remina bado kipo

Hivi yule mama fatm mtambo kakamatwa kwa issue gani jamani ameisha anatembelea fimbo kazeeka Mungu amsaidie tu jamani
Duh kile ki grocery cha dem mmja anaitwa T
Mweupe mpodo kma wewe Dah
Wamempangisha tu
Fatma mtambo wa upanga au

Ova
 
Huyo huyo wa upanga mama yao na kina samira
Yule dume jike baunsa anajiita mzungu wa roho anayewasagaga kina wema na wasnii wengine wa kike ni mtoto wa salma mtambo kweli?kweli magu kabana wauza unga kaachia channel kwa bashite na kina kanyau tu maana huyo demu nasikia juzi kashindwa kulipa bili ya pombe ya lakei 4 akaacha garikama bondi kaja kukomboa baadaye
Demu alikuwa na v i pesa vya kuhonga hao wasanii kuwasaga naona hali imebadilika kweli.
 
Hajazaliwa na fatma mtambo tindwa miraji ni mama akee wa kimjini mjini tu wenyewe wanasema mama wa hiari
 
Duh nawajua vzr sana tokea huyo dem akiwa anaishi manzese hpo
Kuna yule dj maarufu F ni mtoto wa dada yke...
Kuna siku nlikuwa hpo f&mme wake wakaondoka na mahesabu Kufika home walivamiwa wacha wachezee mapanga

Ova
Aiseh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…