mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Duh....Wataje tu mkuu,wamiliki wa Nyumbani Park aka Samakisamaki au?kuna kipindi walitikiswa lakini last time nimeenda Moro nikawakuta wanakula maisha tu.
Inasemekana jamaa amewahi kufungwa jela za Brazil yeye na mkewe..
F na f.k
Wale wmeishi sana Brazil
Ila sjui kama wanafanya kwa sasa
Naona wamezidisha kupaboresha hpo
Ila wanacheza na mkopo wa bank
Ova