mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Sisi wengine tunazipata live kbla hazijafika mtandaoni [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh. Ila mjini usipokuwa na akili ya kuchanganua mambo, unaweza ingizwa mkengeni hivi hivi. Hususan maisha ya mitandaoni, yanapoteza sana watu.
Nacheka tu mtu unavyochomolewa darini
Ova