Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Yule dume jike baunsa anajiita mzungu wa roho anayewasagaga kina wema na wasnii wengine wa kike ni mtoto wa salma mtambo kweli?kweli magu kabana wauza unga kaachia channel kwa bashite na kina kanyau tu maana huyo demu nasikia juzi kashindwa kulipa bili ya pombe ya lakei 4 akaacha garikama bondi kaja kukomboa baadaye
Demu alikuwa na v i pesa vya kuhonga hao wasanii kuwasaga naona hali imebadilika kweli.
Ilikua Samaki Samaki amewachenjia amewaambia wamemdhalilisha hakua anadaiwa,Mwanasheria wake amewapa notice ya kuwashtaki wamlipe fidia
 
Kumbe ilikuwa hivyo na ilivyosemekana unga waliwekewa tu hivi kile kigrocery pembeni ya saloon ya remina bado kipo

Hivi yule mama fatm mtambo kakamatwa kwa issue gani jamani ameisha anatembelea fimbo kazeeka Mungu amsaidie tu jamani
Hawa wa mama wa mjini sijui wengi yamewapata yapi ha ha nilimuona Dotnata mwaka jana mitaa ya Riverside karibia na nyumbani kwake dah amechoka mbaya
 
Huyo dada ndy mtu wa kwanza kuuza brazilian hair alifunguaga duka mikocheni
Kabla yke nlikuwa na mke wa rafiki yangu mmoja ni m Peru alikuwa anafanya kazi United nation alinipaga sample za nywele kama 3 hvi nizitafutie market wakati huo f bado!hajaanza mm nlikuwa sina idea na mmbo hyo si unajua mm mapori pori
Nlimfata f kumuliza idea nkamuzia moja
Mm nkasafiri ehh baada ya Muda nkasikia wao wanaleta nywele hzo wanauza
Nlichezea zali la mperu...hata hvyo mm na mambo ya urembo wapi na wpi

Ova
 
Wauza Unga wanamaisha ya ajabu. Hivi kwa nini wengi wao huwa wanachomolewa juu ya Dari?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazee wanavyotaka sifa kama nawaona
Lzma wawatie kelebu Kidg

Ova
 
Naona gram 400 once again

Just enough to fall into dealer category rather than user/addict. HATUZIDISHI

Kwa mimi hii mara ya 3 nakutana matukio matatu tofauti wote wana Gram 400 hii kitu kuna sinema kubwa sana[emoji1607][emoji1607][emoji1607]
 
Huyo dada ndy mtu wa kwanza kuuza brazilian hair alifunguaga duka mikocheni
Kabla yke nlikuwa na mke wa rafiki yangu mmoja ni m Peru alikuwa anafanya kazi United nation alinipaga sample za nywele kama 3 hvi nizitafutie market wakati huo f bado!hajaanza mm nlikuwa sina idea na mmbo hyo si unajua mm mapori pori
Nlimfata f kumuliza idea nkamuzia moja
Mm nkasafiri ehh baada ya Muda nkasikia wao wanaleta nywele hzo wanauza
Nlichezea zali la mperu...hata hvyo mm na mambo ya urembo wapi na wpi

Ova
Pole mkuu,kitu kama sio hobbie ni bora usikifanye tu.
 
Huyo dada ndy mtu wa kwanza kuuza brazilian hair alifunguaga duka mikocheni
Kabla yke nlikuwa na mke wa rafiki yangu mmoja ni m Peru alikuwa anafanya kazi United nation alinipaga sample za nywele kama 3 hvi nizitafutie market wakati huo f bado!hajaanza mm nlikuwa sina idea na mmbo hyo si unajua mm mapori pori
Nlimfata f kumuliza idea nkamuzia moja
Mm nkasafiri ehh baada ya Muda nkasikia wao wanaleta nywele hzo wanauza
Nlichezea zali la mperu...hata hvyo mm na mambo ya urembo wapi na wpi

Ova

Hahaha, kuna mdada wa mjini mmoja, ana duka karibu na kanisa la pinda. Nilisikia those days alimkimbia mtu hotelini china walipofikia baada ya mzigo kupasukia tumboni.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazee wanavyotaka sifa kama nawaona
Lzma wawatie kelebu Kidg

Ova
Watakuwa wamepigika Hawa watu acha kabisa, ila bwana Muuza Unga kupigika au kuchezea cha kopo wala si kitu kipya kwake Wana roho ngumu mno
 
Emba bortion ndo nani tena?
Emba bortion na mama yake remina wauza ngada maarufu kino wamefichwana mamlaka kwa sasa. Hela za ngada dada alikuwa anapanda first class flights hizi front waliweka Saloon na kuuza ma lace wig back office au core business ilikuwa ni powderz.
IMG-20190505-WA0000.jpeg
IMG-20190505-WA0001.jpeg
IMG-20190505-WA0002.jpeg
 
Sasa naona wengi mnamtaja Mange kimambi kama aliyesaidia kupiga kelele za kuijuza jamii kwa kuwataja bila uogA.
Achana na mange, hao watu wanajulikama miaka nenda rudi na mafaili yao yapo zamani tu polisi, issue ni kuwakamata na uthinitisho!
 
Back
Top Bottom