Sisi wengine tunazipata live kbla hazijafika mtandaoni [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh. Ila mjini usipokuwa na akili ya kuchanganua mambo, unaweza ingizwa mkengeni hivi hivi. Hususan maisha ya mitandaoni, yanapoteza sana watu.
Itakua hiyo hiyo na inawezekana na mkewe walimpa kazi aonyeshe alipo mme wake🙆🏽♂️Duuuu, hii Unazungumzia hii ambush ya juzi.?
Ilikua Samaki Samaki amewachenjia amewaambia wamemdhalilisha hakua anadaiwa,Mwanasheria wake amewapa notice ya kuwashtaki wamlipe fidiaYule dume jike baunsa anajiita mzungu wa roho anayewasagaga kina wema na wasnii wengine wa kike ni mtoto wa salma mtambo kweli?kweli magu kabana wauza unga kaachia channel kwa bashite na kina kanyau tu maana huyo demu nasikia juzi kashindwa kulipa bili ya pombe ya lakei 4 akaacha garikama bondi kaja kukomboa baadaye
Demu alikuwa na v i pesa vya kuhonga hao wasanii kuwasaga naona hali imebadilika kweli.
Hawa wa mama wa mjini sijui wengi yamewapata yapi ha ha nilimuona Dotnata mwaka jana mitaa ya Riverside karibia na nyumbani kwake dah amechoka mbayaKumbe ilikuwa hivyo na ilivyosemekana unga waliwekewa tu hivi kile kigrocery pembeni ya saloon ya remina bado kipo
Hivi yule mama fatm mtambo kakamatwa kwa issue gani jamani ameisha anatembelea fimbo kazeeka Mungu amsaidie tu jamani
Wauza Unga wanamaisha ya ajabu. Hivi kwa nini wengi wao huwa wanachomolewa juu ya Dari?Naskia nsembo walimchomolea akiwa kajificha juu ya Dari [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama nawaona vile wazee wanamvyomshusha
Ova
Harudi yule ila kuolewa na Muuza Unga Lazma uwe mkavu mno kiukweliNa yule kurudi sio leo wala kesho
Huyo dada ndy mtu wa kwanza kuuza brazilian hair alifunguaga duka mikocheniAiseh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wauza Unga wanamaisha ya ajabu. Hivi kwa nini wengi wao huwa wanachomolewa juu ya Dari?
Naona gram 400 once again
Just enough to fall into dealer category rather than user/addict. HATUZIDISHI
Pole mkuu,kitu kama sio hobbie ni bora usikifanye tu.Huyo dada ndy mtu wa kwanza kuuza brazilian hair alifunguaga duka mikocheni
Kabla yke nlikuwa na mke wa rafiki yangu mmoja ni m Peru alikuwa anafanya kazi United nation alinipaga sample za nywele kama 3 hvi nizitafutie market wakati huo f bado!hajaanza mm nlikuwa sina idea na mmbo hyo si unajua mm mapori pori
Nlimfata f kumuliza idea nkamuzia moja
Mm nkasafiri ehh baada ya Muda nkasikia wao wanaleta nywele hzo wanauza
Nlichezea zali la mperu...hata hvyo mm na mambo ya urembo wapi na wpi
Ova
Huyo dada ndy mtu wa kwanza kuuza brazilian hair alifunguaga duka mikocheni
Kabla yke nlikuwa na mke wa rafiki yangu mmoja ni m Peru alikuwa anafanya kazi United nation alinipaga sample za nywele kama 3 hvi nizitafutie market wakati huo f bado!hajaanza mm nlikuwa sina idea na mmbo hyo si unajua mm mapori pori
Nlimfata f kumuliza idea nkamuzia moja
Mm nkasafiri ehh baada ya Muda nkasikia wao wanaleta nywele hzo wanauza
Nlichezea zali la mperu...hata hvyo mm na mambo ya urembo wapi na wpi
Ova
Dotnata anaumwa mkuuHawa wa mama wa mjini sijui wengi yamewapata yapi ha ha nilimuona Dotnata mwaka jana mitaa ya Riverside karibia na nyumbani kwake dah amechoka mbaya
Kiboko na mke wko ndaniHarudi yule ila kuolewa na Muuza Unga Lazma uwe mkavu mno kiukweli
Nani mdg wngu j aka director nn [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha, kuna mdada wa mjini mmoja, ana duka karibu na kanisa la pinda. Nilisikia those days alimkimbia mtu hotelini china walipofikia baada ya mzigo kupasukia tumboni.
Watakuwa wamepigika Hawa watu acha kabisa, ila bwana Muuza Unga kupigika au kuchezea cha kopo wala si kitu kipya kwake Wana roho ngumu mno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazee wanavyotaka sifa kama nawaona
Lzma wawatie kelebu Kidg
Ova
Harusi moja tulimletea uzushi kwenye menu hakuweka samakiDotnata anaumwa mkuu
Emba bortion na mama yake remina wauza ngada maarufu kino wamefichwana mamlaka kwa sasa. Hela za ngada dada alikuwa anapanda first class flights hizi front waliweka Saloon na kuuza ma lace wig back office au core business ilikuwa ni powderz.Emba bortion ndo nani tena?
Achana na mange, hao watu wanajulikama miaka nenda rudi na mafaili yao yapo zamani tu polisi, issue ni kuwakamata na uthinitisho!Sasa naona wengi mnamtaja Mange kimambi kama aliyesaidia kupiga kelele za kuijuza jamii kwa kuwataja bila uogA.
Director Joan au mana ndio mwenye duka karibia na kanisa la pindaHahaha, kuna mdada wa mjini mmoja, ana duka karibu na kanisa la pinda. Nilisikia those days alimkimbia mtu hotelini china walipofikia baada ya mzigo kupasukia tumboni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watakuwa wamepigika Hawa watu acha kabisa, ila bwana Muuza Unga kupigika au kuchezea cha kopo wala si kitu kipya kwake Wana roho ngumu mno