Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Huyo ndio mtoto wa remina
Ana watoto 3
Yupo yule aliyezaa na jaj ashastafu
Kifaaa
Ila najua huko alipo anatumiss maana ile grocery alikuwa hpendi tukionekana [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunamletea karahaaa anasema
Sasa namwambia remi mm nakujua tokea unafanya kazi saloon mjini mm kma mdg wko
Dah tulikuwa tunapishana kauli maana tulikuwa tunamchana ukweli

Ova
 

Mkuu taarifa tafadhari kwanza bongo drug dealer wa maana akuna wote mapusher tu magwiji wenye hata awaguswi mkuu si tusikilize ndelemo za kisiasa tu unaweza kuta hata hao tunaoongelea mzigo huo wameuziwa cheche michezo ya watu wakubwa wenye chuki na mtu njia ya kupotezana bongo wenye mzigo nimekutanishwa na mnigeria nasikia hata wazambia namibia na nchi nyingine ndo wanakuja bongo kujifanya wanafunga mzigo kariakoo ila wanamambo yao jamaa aliyenipa hizo mambo shemeji yake ni mnigeria na ndo alikua anampa mzigo nae pia ndo mwenye access na wakunga mbele mbele acha wanigeria wajenge majengo sio kubeba box ulaya unga kwao frsh
 
Yule sista anamajibu ukiingia anga zake ni balaaa

Kuna mwanangu alizima akayumba akataka aanguke pale nje saloon yule ssta alipiga simu polis osterbay
 
We ndio umeleta siasa, bongo wapo wengi tu madon wa unga akina nsembo, chonji, ally shikuba, kiboko, kanyau, beka ranger n.k, ila sasa iv washapukutishwa
Na ni ngumu kuwakamata na uthibitisho, so dawa yao ni kuwawekea zigo tu wakafie mbele!
Sijawahi kuwaonea huruma wauza ngada
 
Naskia nsembo walimchomolea akiwa kajificha juu ya Dari [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama nawaona vile wazee wanamvyomshusha

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106]
 
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Hahahahahahahaha
Harusi moja tulimletea uzushi kwenye menu hakuweka samaki
Wacha tumzonge akawaanaishia ksema unanijua mm nani?tukamwambia ye kuwa nani haituhusu kikubwa atimize makubaliano
Biashara zake ni uzushiuzushi tu haw wamama wa mjini
Ova
Kiboko na mke wko ndani
Na kna source moja inasema kana kiboko ndani kapata stroke .....shnz type

Ova
Alikamatwa kitambo, kiukweli tuunge mkono jitihada kubwa inayofanywa na serikali kutuondolea Hawa watu mtaani angalau kidogo tunapumua jamani mtaa ukiwa hata
Na teja mmoja mtakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…