Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Hata hivo nilikuwa namwonea huyo Mzungu huruma siku zote. Mimi nisingemaliza naye juma kama angekuwa mke wangu. Kwanza hata kumuoa nisingeweza. Mzungu alikuwa mvumilivu sana.
Ukichanganya na mama mkwe hakuwahi kumpenda kwa kupenda kwake mambo makubwa