Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Kiki ni mwanamke mzuri sana kwa tabia na hapendi makuu ila hana bahati ya MUME alimkimbia Kinje baada ya kuona amezidi umalaya na sio muoaji, mpaka akatishiwa bastola lakini hakurudi nyuma, kaja kuangukia kwenye ndoa nyingine ya mwanaume mshenzi vile vile..
Huyu Kinje naye chapa ilale na anamkosi wa kukimbiwa na wanawake?
 
Kiki ni mwanamke mzuri sana kwa tabia na hapendi makuu ila hana bahati ya MUME alimkimbia Kinje baada ya kuona amezidi umalaya na sio muoaji, mpaka akatishiwa bastola lakini hakurudi nyuma, kaja kuangukia kwenye ndoa nyingine ya mwanaume mshenzi vile vile..
Nani asopenda makuu,huoni anapoangukia Malik ukibaka hajaanza jana wala juzi
 
Duuh watu mna dataaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Kajala na wala ngada sijui kuna nini..!!
Money [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji383] Mkuu kajala anapenda [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji383] Mkuu
 
Yaani mi nilikua nasema wenzetu wanaishije hapa mjini sisi wengine hatutoboi hata kidogo...!!!huyu Dada amejua kupoteza watu


Sana tu ila watu walishajuwa habari zake kitambo na wengi walimweleza ukweli kuwa asijihusishe na Abdul ila kama unavyojuwa tena mademu wa kichagga kwa tamaa, hakutaka sikiliza wenzake akahamua kumpindua rafiki yake Mboni (alikuwa demu wa Abdul) na kisha kuchukuliwa yeye ili awe anahesabu hela haramu na kuendesha magari ya kifahari. Kajitakia mwenyewe, atajiju.
 
Ana tatizo la kudharau wanawake sana, mkewe Anitha mwenyewe anavumila sana, kuna kipindi aliondoka akarudi Dar, akaangukia kwenye mikono ya salama Jabir, Kinje alipata taabu sana.


Siyo kama anawadharau wanawake, isipokuwa wale wanawake wakishapata wakitakacho wanasepa kuhofia kukamatwa na wao kwani ipo siku tu Kinje atakuja kamatwa maana hana tena faida ukizingatia baba yake kishakufa. It's a matter of time, mtasikia tu.
 
wewe tumesoma ote Morogoro Secondary! Shamim alinizidi darasa 1! HMater alikuwa babu Mananga! Mbabe wa Bios alikuwa Kunambi na Maths Mr. Mkami! Shamim alikuwa darasa 1 na mdogo wa Basila Mwanakuzi akiitwa Nasib! Na wewe huo mwaka wenu mlikuwa na Msanii SQUEEZER!
Mweeeh jaah mmmekutaana wa nyuumbani.Watoto wa Moroo Seki...napita tu sie wa Kigurunyeembe kwa Baba Askofuu.... 😁 😁 😁 😁 😁
Schoolmate ndio ana kesi ja kazi kweli kweeli.Pooleni...ngoja niwatafute kina Mkude
 
Siyo kama anawadharau wanawake, isipokuwa wale wanawake wakishapata wakitakacho wanasepa kuhofia kukamatwa na wao kwani ipo siku tu Kinje atakuja kamatwa maana hana tena faida ukizingatia baba yake kishakufa. It's a matter of time, mtasikia tu.

Hapana jamaa ana umalaya wa kijinga kwake yeye mke akipata mahitaji yake basi hajali utu wa mke/mpenziwe anaweza kutembea na rafiki ya mkewe na hata kupiga picha zikarushwa kwenye mitandao.. mke anastahili heshima yake bwana sio unakojoa kojoa hovyo hovyo tu.
 
Mungu anakulipa bi dada ulijua kumtesa baba IQRA ukafanya kila kituko mpaka kijana wa watu akakupa talaka, ukamfanya kijana wa watu akakosa focus kwenye maisha na kazin akawa haeleweki[emoji24] ..Ukasahau alivyokukuta unagongwa ovyo na madereva tax wa Sinza madukani kipindi hiko ukiwa umepanga kichumba tu huko mitaa ya NAMNANI, Ukajiona babkubwa ulivyoanza kualikwa kwenye birthdays za wadada wa mujini kwenda kuwapiga picha ili uwapost kwenye blog yako ya 8020 na kupewa vi elfu 50 vya kutia mafuta. Ukahisi baba Iqra si hadhi yako tena,Ushoga na mboni ukanoga mpaka kuja kumuiba Abdul kutoka kwa bff wako. Dah kweli malipo ni duniani
Yaonekana wamfahamu a to z
 
Hapana jamaa ana umalaya wa kijinga kwake yeye mke akipata mahaitaji yake basi hajali utu wa mke/mpenziwe anaweza kutembea na rafiki ya mkewe na hata kupiga picha zikarushwa kwenye mitandao.. mke anastahili heshima yake bwana sio unakojoa kojoa hovyo hovyo tu.
Hii juzi juzi ana mnyonya yule binti tunda mke wake alishuhudia.
 
Atoke wapi? Nakuambia wengi wanamkumbuka Kikwete sasa., walikuwa wanapindua pindua tu majalada huko.


Na ndiyo maana aliwaambia watanzania (wauza sembe) kuwa mtanikumbuka, ndicho kinachotokea hivi sasa maana wakati wa utawala wake alikuwa anawalinda ukizingatia wengi walikuwa marafiki wa mwanaye na wanashirikiana kuuza sembe.
 
Back
Top Bottom