Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Sijui kwanini huwa hawaridhiki, Ukibutua mkwanja maramoja si utulie ufanye mambo Mengine?
Duuuuuuh!!!
 
sana cynthia anampenda sana mziray, na mziray atafanya lolote kumridhisha mke, lile jumba walilokuwa wanaishi Dar hii sijui ni la nani lie, haa utafikiri nje ya nchi ya JZ.
Yaani wale mpk raha aseehh!demu yule sikutegemea kama ataolewa bongo maana enzi zile yuko statea daahh!!acha kabisaa

Rich hata kama ana uhuni anamheshimu sana mkewe kwa kweli mnoo

Mange alishasemaga sijui nyumba sio yao Mara sijui wamehamishwa wanakaa chumba kimoja mpk demu anaoma aibu kutoka nje[emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
 
Wale jamaa walijua kutukomesha ile nyumba na yale magari, acha tu Mange awashambulie hajaishi nyumba kama ile licha ya kujiona yuko juu.
 
hizo laana utakazo pata si za nchi hii, kuna mwl flan alisepa na denii, aiseee sijawahi ona mtu aliewahi laaniwa kama yuleee, wanawake ndio walikua wengii tena wa uswazii, hahaaa ila jamaaa ana roho ngumuu, hakurudi nyumaaa
Ilikuwaje mkuu?
 
Alivyokuwa anawatafuna wadada wa mjini kina Mbonie acha ila mkewe mbabe na mitusi sasa
Ila mboni nae katiwa jamani, haa! halafu hana kitu cham maana, mwanamke yule katiwa mpaka na Etoo!? Kisa apate hela ya kwenda jumapili white sands hotel...watu bwana halafu wanataka eti nao WAOLEWE?! wanaume wana kazi ngumu.
 
Hahaha ha Mbonie ni sheedah, alijinunuliaga gauni la harusi masikini akijua Chief angeoa
 
Acha kabisaa Cynthia ameishi maisha yoteee,ameinjoi sanaa,amekula sana good time ila Mange akikuchukia utajuta ukipata baya anafurahia balaaa!!!
Mange alipenda yeye ndio awe na maisha ya juu, ukiangalia kila anae mchukia kamzidi maisha, alisemaga cynthia baba ake muuaji, amefungwa maisha kwa kuua, eti simchambi tena asije niua bure...haahaaaaaa... Mange.
 
Mbona unajichanganya mkuu? Unasema haina dhamani kihivyo kama tunavyoaminishwa na hapo hapo unasema serikali haitangazi dhamani kwa kuwa inaogopa kutamanisha watu.... Kama haina dhamani ni wazi serikali ingetangaza dhamani ili watu waelewe kuwa biashara hiyo haina ishu. Serikali haitangazi cause biashara inalipa ndio maana inahofia watu wakijua dhamani wanaweza wakajitoa mhanga kininja..... Huu ni mtazamo wangu tu kutokana na maelezo yako

Mdau hapo juu aliandika kwamba gram 400 ina thamani ya 200 mil. Nikamkatalia kuwa uzito huo hauna thamani hiyo, Kiufupi, elewa kwamba capital to profit ratio haizidi 1:1, kinachofanya sema ina circulation kubwa. For reference pitia post zote nilizoandika.
 
Mange alipenda yeye ndio awe na maisha ya juu, ukiangalia kila anae mchukia kamzidi maisha, alisemaga cynthia baba ake muuaji, amefungwa maisha kwa kuua, eti simchambi tena asije niua bure...haahaaaaaa... Mange.
Hahaaa...wenziwe Walee wanatoboa tu na ndoa zao zinadumu yeye ameachika anabaki kuendeleza chuki!!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Mange hapana kwa kweli hata mashoga zake wako nae kwa step
 
Back
Top Bottom