Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Ndo maana yale matukio yake siyaelewi elewi insta masikini looh[emoji1751]...nasikia anitha anakula unga sasa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana yale matukio yake siyaelewi elewi insta masikini looh[emoji1751]...nasikia anitha anakula unga sasa hivi
sana cynthia anampenda sana mziray, na mziray atafanya lolote kumridhisha mke, lile jumba walilokuwa wanaishi Dar hii sijui ni la nani lie, haa utafikiri nje ya nchi ya JZ.Ila Cynthia na Rich wametulia wale na yule Dada anavyomsifia mumewe jamani km malaika
Mwanamke anaeolewa na muuza madawa ni jasiri kuliko anaefanya biashara. Unajiingizaje kwenye moto ukiwa unajiona lakini?
Alivyokuwa anawatafuna wadada wa mjini kina Mbonie acha ila mkewe mbabe na mitusi sasasana cynthia anampenda sana mziray, na mziray atafanya lolote kumridhisha mke, lile jumba walilokuwa wanaishi Dar hii sijui ni la nani lie, haa utafikiri nje ya nchi ya JZ.
Duh mie tena nimekuwa muuza unga sawa mkuu nashukuru.
sio kufunga ramadhani tu mkuu, kuna huyo Kanyau ALIJENGA MSIKITI kabisa na watu wanaswali pale kama kawa.
Ndiyo upige simu polisi, siyo kuwataja hapa JF.
Yaani wale mpk raha aseehh!demu yule sikutegemea kama ataolewa bongo maana enzi zile yuko statea daahh!!acha kabisaasana cynthia anampenda sana mziray, na mziray atafanya lolote kumridhisha mke, lile jumba walilokuwa wanaishi Dar hii sijui ni la nani lie, haa utafikiri nje ya nchi ya JZ.
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji11]kumbeeeeAlivyokuwa anawatafuna wadada wa mjini kina Mbonie acha ila mkewe mbabe na mitusi sasa
Wale jamaa walijua kutukomesha ile nyumba na yale magari, acha tu Mange awashambulie hajaishi nyumba kama ile licha ya kujiona yuko juu.Yaani wale mpk raha aseehh!demu yule sikutegemea kama ataolewa bongo maana enzi zile yuko statea daahh!!acha kabisaa
Rich hata kama ana uhuni anamheshimu sana mkewe kwa kweli mnoo
Mange alishasemaga sijui nyumba sio yao Mara sijui wamehamishwa wanakaa chumba kimoja mpk demu anaoma aibu kutoka nje[emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
Ilikuwaje mkuu?hizo laana utakazo pata si za nchi hii, kuna mwl flan alisepa na denii, aiseee sijawahi ona mtu aliewahi laaniwa kama yuleee, wanawake ndio walikua wengii tena wa uswazii, hahaaa ila jamaaa ana roho ngumuu, hakurudi nyumaaa
Ila mboni nae katiwa jamani, haa! halafu hana kitu cham maana, mwanamke yule katiwa mpaka na Etoo!? Kisa apate hela ya kwenda jumapili white sands hotel...watu bwana halafu wanataka eti nao WAOLEWE?! wanaume wana kazi ngumu.Alivyokuwa anawatafuna wadada wa mjini kina Mbonie acha ila mkewe mbabe na mitusi sasa
Hahaha ha Mbonie ni sheedah, alijinunuliaga gauni la harusi masikini akijua Chief angeoaIla mboni nae katiwa jamani, haa! halafu hana kitu cham maana, mwanamke yule katiwa mpaka na Etoo!? Kisa apate hela ya kwenda jumapili white sands hotel...watu bwana halafu wanataka eti nao WAOLEWE?! wanaume wana kazi ngumu.
Wale jamaa walijua kutukomesha ile nyumba na yale magari, acha tu Mange awashambulie hajaishi nyumba kama ile licha ya kujiona yuko juu.
Pata picha mpka KIUMBE amemuogopa kumfanya mke, nani ataweza? Haahaaaa, bora alivyojizalia tu mtoto wake.Hahaha ha Mbonie ni sheedah, alijinunuliaga gauni la harusi masikini akijua Chief angeoa
Mange alipenda yeye ndio awe na maisha ya juu, ukiangalia kila anae mchukia kamzidi maisha, alisemaga cynthia baba ake muuaji, amefungwa maisha kwa kuua, eti simchambi tena asije niua bure...haahaaaaaa... Mange.Acha kabisaa Cynthia ameishi maisha yoteee,ameinjoi sanaa,amekula sana good time ila Mange akikuchukia utajuta ukipata baya anafurahia balaaa!!!
Mbona unajichanganya mkuu? Unasema haina dhamani kihivyo kama tunavyoaminishwa na hapo hapo unasema serikali haitangazi dhamani kwa kuwa inaogopa kutamanisha watu.... Kama haina dhamani ni wazi serikali ingetangaza dhamani ili watu waelewe kuwa biashara hiyo haina ishu. Serikali haitangazi cause biashara inalipa ndio maana inahofia watu wakijua dhamani wanaweza wakajitoa mhanga kininja..... Huu ni mtazamo wangu tu kutokana na maelezo yako
Hahaaa...wenziwe Walee wanatoboa tu na ndoa zao zinadumu yeye ameachika anabaki kuendeleza chuki!!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Mange hapana kwa kweli hata mashoga zake wako nae kwa stepMange alipenda yeye ndio awe na maisha ya juu, ukiangalia kila anae mchukia kamzidi maisha, alisemaga cynthia baba ake muuaji, amefungwa maisha kwa kuua, eti simchambi tena asije niua bure...haahaaaaaa... Mange.