Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Wauza unga na wapigaji mjini wameleta athari kubwa sana kwenye jamii, hata hii ajira mpya ya Kudanga kwa hawa dada zetu imechangiwa na hawa jamaa kwa kiasi kikubwa maana waliwazoesha expensive life hawa mabinti ambao kwa sasa wamebaki victim hivyo lazima wadange kwa kupanga idadi kubwa ya wanaume ili wamentain status..

Nikikumbuka enzi za Twanga pepeta na Msondo jukwaa moja pale leaders nakumbuka mengi sana kwenye hii jamii ya Bongo movie na uhalisia wa maisha yao..
 
Nimesoma comments zote (zilizopita kabla ya hii comment yangu) katika uzi kwa mara ya kwanza hapa JF. Nilichogundua, uzi umetwaliwa na wataalam wenyewe wa haya mambo. Wanajua nani yuko wapi na afanya nini. Hata ukiandika P, wanajua P ni nani na anafanya nini!
 
Akafie jera tu,hawa ndio wanasababisha wadogo zetu wawe na msongo wa mawazo,unatoka chuoni,unaingia kitaa,unakutana na kijana lika lako,anaendesha,Kruger,V8,hammer,biashara kibao,harafu anakutambia kwamba amejiajiri ndio maana amefika hapo,kumbe ni drug dealer tu!!!lifie huko huko jera,Mali tunataifisha ila huyo mkewe arudishwe kitaa,tuzalishe zaidi
 
Mrangi heshima yako mkuu,
huyu Nambua au Casandra Cosmetics nahisi nae sio wale wale kweli namuona huko IG anamtetea Sana shamim Mwasha ingawa nilisha mhisi Kabla.
Mkuu

Tatizo linakuja mwanzoni mtu anapokamatwa wale marafiki na jamaa zao wanaona kama masihara,ila waelewe wazee wa kitengo syo wajinga wao wana data na info za kutosha
Kuhusu wale wanao wtafuta
Unajua katikati hapa kuna watu wngi wamkamatwa ndani na nje ya nchi
Hao wanaokamatwa wakiminywa wanasema nani amewatuma.....hata nje huko wakidakwa
Mamlaka husika wanatuma fax kwenye kitengo majina ya wale ambao wamewatuma
Kama Hao wakina nambua wanaishia kutetea ni Sawa na hawajui lolote
Kuhusu biashara za Hawa watu
Inawezekana pia shamim asihusike direct lkn akawa anajua mipango yote ya mme wake
Maana mwisho wa siku na yeye si anakatiwa hela,ananunuliwa magari mazuri etc
Mt tezi yoyote kwenye issue ya Hawa atakuwa anajisumbua maana wazee wa kitengo wa taarifa zote kuhusu wao kitambo
Sana

Ova
 
Akafie jera tu,hawa ndio wanasababisha wadogo zetu wawe na msongo wa mawazo,unatoka chuoni,unaingia kitaa,unakutana na kijana lika lako,anaendesha,Kruger,V8,hammer,biashara kibao,harafu anakutambia kwamba amejiajiri ndio maana amefika hapo,kumbe ni drug dealer tu!!!lifie huko huko jera,Mali tunataifisha ila huyo mkewe arudishwe kitaa,tuzalishe zaidi
Wanakuambia nlianza biashara na mtaji wa 50000/ Ona sasa Nna bilion[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha wanyooshwe tu

Ova
 
Acha kabisaa.....!!!!tena unakua makini nakumbuka Jack Patrick alishawahi kamatwa na mmewe Abdul na unga pia!Abdul akajificha ndani ya ceiling body!!
Basi Abdul tabia yake ya kujificha kwenye ceiling body haijaanza juzi [emoji23][emoji23],huezi amin i wanasema Shamim alidanganya polisi kuwa mumewe ayupo,kupekua nyumba ndo wakamkuta darini lol,na kibaya zaidi hiyo sembe iliyokamatwa ilikua ndani ya gar ya bidada,dah shamim huyu fake sana na vibubu vyake ndio maana nilimpuuza[emoji20].Aombe tu Mungu atoke atakua amejifunza jela balaa.
 
Wanakuambia nlianza biashara na mtaji wa 50000/ Ona sasa Nna bilion[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha wanyooshwe tu

Ova
Waongo sana hawa. Eti wahamasishaji. Kumbe ukweli hawausemi. Sasa watu ndo wanawaamini kweli. Kumbe huko nyuma ya utajiri wao ni biashara haramu.
 
Basi Abdul tabia yake ya kujificha kwenye ceiling body haijaanza juzi [emoji23][emoji23],huezi amin i wanasema Shamim alidanganya polisi kuwa mumewe ayupo,kupekua nyumba ndo wakamkuta darini lol,na kibaya zaidi hiyo sembe iliyokamatwa ilikua ndani ya gar ya bidada,dah shamim huyu fake sana na vibubu vyake ndio maana nilimpuuza[emoji20].Aombe tu Mungu atoke atakua amejifunza jela balaa.
Wakae huko huko kwanza wajifunze kuishi bila ustaa
 
Basi Abdul tabia yake ya kujificha kwenye ceiling body haijaanza juzi [emoji23][emoji23],huezi amin i wanasema Shamim alidanganya polisi kuwa mumewe ayupo,kupekua nyumba ndo wakamkuta darini lol,na kibaya zaidi hiyo sembe iliyokamatwa ilikua ndani ya gar ya bidada,dah shamim huyu fake sana na vibubu vyake ndio maana nilimpuuza[emoji20].Aombe tu Mungu atoke atakua amejifunza jela balaa.
Shamimu nae mjinga,Yaani kwa akili zake polisi walikurupuka tu wakaja?Lazima polisi walifuatilia where abouts zake na kuzimonitor mpaka anaingia nyumbani kwake na kujihakikishia hajatoka ndo maana na wao wakazama ndani.
 
Unajua huyu dada zamani nilikua namuonea huruma Mange anavyomtuhumu kuhusika na hii biashara lakin kumbe lisemwalo lipo,Unaambiwa yeye siku hizi ndo alikua anampga tafu Mr. wake kwenye usambazaji lol,mashauzi yanataka pesa walah,alikua anaona raha kusukuma range eh ona sasa alivyopozwa saivi watoto wamewaacha watoto peke yao kisa tamaa mfyuu.Sijui akitoka ataficha wapi uso wake doh.
Shamimu nae mjinga,Yaani kwa akili zake polisi walikurupuka tu wakaja?Lazima polisi walifuatilia where abouts zake na kuzimonitor mpaka anaingia nyumbani kwake na kujihakikishia hajatoka ndo maana na wao wakazama ndani.
 
Mungu anakulipa bi dada ulijua kumtesa baba IQRA ukafanya kila kituko mpaka kijana wa watu akakupa talaka, ukamfanya kijana wa watu akakosa focus kwenye maisha na kazin akawa haeleweki[emoji24] ..Ukasahau alivyokukuta unagongwa ovyo na madereva tax wa Sinza madukani kipindi hiko ukiwa umepanga kichumba tu huko mitaa ya NAMNANI, Ukajiona babkubwa ulivyoanza kualikwa kwenye birthdays za wadada wa mujini kwenda kuwapiga picha ili uwapost kwenye blog yako ya 8020 na kupewa vi elfu 50 vya kutia mafuta. Ukahisi baba Iqra si hadhi yako tena,Ushoga na mboni ukanoga mpaka kuja kumuiba Abdul kutoka kwa bff wako. Dah kweli malipo ni duniani
 
Back
Top Bottom