Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Ukiangalia sana Shamim alivaa koti la Blogger, Oriflame director, Nsembo huyu anajulikana maana yale maeneo ya magomeni Kagera karibu wotemazungu ukianzia Chonji, nyuma ya mtaa alikuwako Tikotiko , Nsembo ofisi ya Logistics and Transportation alipanga kwa chonji nadhani iko kama Front tuu lakini core business ni mapodas. Mbele ya mtaa kuna Idd Azan, Babu mtama mchungu.
Halafu hata Mbezi beach walipokuwa wanaishi mitaa hiyo ma don tupu wa mapoda. Babu, Khafidh, Nsembo, Saad hawa watu huwa wanapenda kujenga maeneo yanayokaribiana.
Halafu hata Mbezi beach walipokuwa wanaishi mitaa hiyo ma don tupu wa mapoda. Babu, Khafidh, Nsembo, Saad hawa watu huwa wanapenda kujenga maeneo yanayokaribiana.