Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mara nyingi huo mzigo huwa unakuwa ni wa mamlaka husika ya kupambana na madawa ".... inapotokea wame kuchoka kutokana na kuhusika kwako na hiyo biashara na wamesha kuonya mara kibao kuwa uachane na hiyo biashara kwa sababu tayari umesha julikana na unaichafua nchi katika jumuia ya ki-mataifa. .
Lakini wewe hautaki kuelewa somo ... basi wana kuandalia zengwe la kukupoteza ... wana kuja kwako wakiwa na huo mzigo "... halafu wana kusingizia kuwa ni wakwako "....Au ya weza kuwa katika harakati za huyo jamaa alipishana ki-maslahi na mkuu mmoja aliye kwenye system so huyo mkuu ana amua kumtoa kafara tu
Exactly my thoughts, nakumbuka kuwahi kupata jibu la namna hii mahali, nikasema niulize tena kupata maelezo zaidi.
Asante mkubwa.