Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Mange hakubali kitu cha kumdhalilisha hata mara moja, ndipo hapo maadui zak wakipata kitu wanamtesa nacho, kama alivyoficha talaka kuja kujulikana ni kweli alichanganyikiwa watu walikula blocku za kutosha.
Yaaani hapo ndo huwa sikubaliani na Mange. Yeye kudhalilisha wenzake tuu ila yy hana cha kudhalilika na hawataki. Talaka ilimtesa hasaa.
 
Serikali ya sasa kama ni mtu wa magumashi acha utapotea ujanja ujanja hautakiwi fanya kazi ya halali
Uwongo ..tu magumashi bado yanaendelea ...unacho kiona tu ni kwamba goli limehama " ..... wanaopiga magumashi hivi sasa na wale waliokuwa kwenye system ya magumashi zamani ni chui na paka ..so hawa wapiga deal wa sasa kwakuwa wao ndio wapo kwenye system huwa wana amua kuwachoma wapiga deal wazamani ambao system imewabwaga ..ili ionekane kuwa serikali inapiga kazi ....shtuka aise
 
Serious yupo...ndio tulikiwa na George dada yake anaitwa Dataz
George nilimzidi class 1, alikuwa best angu! Wewe inawezekana tunafahamiana!
 
Na alijua kuwadaka wanawake wasio fikiri vyema kwa kuwauzia vibubu kwa bei ya juu wakati ukienda kwa fundi seremala tu unapata kibuu, halafu yeye kwa mwezi ana save zaidi ya milion, jamani watu wakajua vibubu vya shamimu vinatema pesa wanashindana kuagiza...kuishi mjini jamani kunahitaji akili.
 
Hizo ndio zinaitwa Cartels, waliotesa kwa kujibanza kwa Ridhiwan Kikwete sasa wanateseka ni zamu ya maswahiba wa Bashite mtoto kupenzi cha Escort one.
 
Uko sahihi. Walikuwa wakifanya hivyo hata kwa majambazi. Wakionywa wasipoacha, wanatafutiwa zengwe halafu wanalimwa risasi.
 
Mjinga ndo aliwaye nimewai kuonyeshwa unga ukoje dah noma sana nimeletewa mpk wa manzese ni shida
Maisha yangu yote sijawahi kuona bangi,heroin wala cocaine. Hivi kati ya cocaine na heroin ipi ina bei zaidi?
 
Miaka ya nyuma airport wakikuhisi unapewa kikombe cha kahawa unywe, ukikataa unawekwa kando kwa uchunguzi zaidi. Halafu hao flights attendants ndiyo wanauza deal kama ukiwa hauli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…