Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Wenye makontena yao kina Kinje na Ridhiwani wamejificha huko South na hapa Bongo. Kama alivyosema mkuu wa upelelezi, ikiwa unajuwa kuna watu wanajihusisha na hii biashara haramu wapigie simu wafanye kazi, polisi inataka ushirikiano wetu. Mimi naanza kwa kuwataja Ridhiwani na Kinje.

Ndiyo upige simu polisi, siyo kuwataja hapa JF.
 
Mkwe don't forget kupeleka msosi kwa gereza[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Ila kweli Shamim alipaswa amsimamie mumewe kama kutajirika washatajirika wangefanya mambo mengine sasa hivi...
Ntampelekea kaka angu japo chai ila na yeye akome.
 
Nimezungumza na teja but ndo alikua muuzaji ndo mana umekuuliza umeona upimaji na uuzaji zinavyo uzwa unaweza ukawa unajua bei la muhindi shambani lkn usijue bei ya hindi mtaani nimeonyeshwa mpk jinsi wanavyochanganya ili wapate dosi ya kuwatosha mana wengi mtaaniawawezi gharama yke nimeangalia mtaani wanavyotengeneza faida mkuu

400g haiwezi kufika 200mil sokoni fanya research vizuri. 1g inarange 35k to 50k.
 
Muuza ngada hatosheki
Ni wachache sana wanaokubali kuachana na kazi hii na kufanya mambo mengine
Mwisho wa Unga ni jela,kufa,kuutumia
Formula ya biashara ya Unga ni ipo siku hela mali zote zitarudi huko
Ona shkuba hakuna mtu aliyekuwa anauza kma yeye lkn leo yuko wapi?

Ova
Hivi babu wa mitaa ya ndugumbi "mtama mchungu" yupo kweli?
 
Nani ajuaye ndugu yangu Dunia ina mengi sana!

Hizo ni tuhuma tu labda tusubiri itakavyoweza kuthibishwa pasina Shaka !

Pengine ilikuwa zamani labda siku hizi walishaachaga!

Nazani uchunguzi wa kina utatakiwa kufanyika kwa haki!

Wakati mwingine si vema kumkuhuku mtu kwa historia huenda aliachaga !
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
weka wazi alikua anakazwa na YULE JAMAA NYUMBA ZAKE ZILIZOWEKWA SOKONI NA SERIKALI DR SHIKA AKAZUGA KUNUNUA.....akampeleka mbuga za wanyama yeye na mashosti zake kwa gharama za milioni 28
nashangaa wanaosema nsembo ni tajiri aliyumba sana hapa katikati sidhani hata kama milioni kumi alikuwa nayo,atakuwa alipata nguvu baada ya kuona Daud Bashite yupo poa na kina kinje na kanyau kwa hiyo game on na yeye akaanza kurudi kwenye game sasa
Enheeeeee. Hii habari hata Tzshaderoom aliandikaga
 
Meanwhile in south africa, patner... rafiki wa Daud bashite wenyeji wamemchoka ...kifuatacho ITV ni......
kanyau.PNG
 
Hyo shamim wiki kama 2 zlizopita nlimuona anatoka gym azura hpo
Mbwembwe nyingi

Ova
Mwenyewe siku hizo hizo nilikutana nae 777 nikamuonyesha rafiki yangu umemuona mke wa kaka. Yani rafiki yangu alipanic kujua ndo mke wa Abdul. Akaanza kumsifia ooh she's hardworking, anaongea vizuri sijui nini. Kumbe angejuaaaa
 
Duh!itakua hata mwaka wa 4 sasa katulizwa!baker ranger nasikia walimkamatia asia huko,walichomfanyia wamemtupa tu guantanamo bay tu,haina mahakamani wala wapi yan km gaidi vile!kama namuona vile na ule ualaza wake!
Ndg yake madega huyu
Kuna biashara alikuwa anafanya link yke na watu fulani hko ndomana
Wanyamwezi wakamuweka kwenye blacklist
#tupotezeeee

Ova
 
Mwenyewe siku hizo hizo nilikutana nae 777 nikamuonyesha rafiki yangu umemuona mke wa kaka. Yani rafiki yangu alipanic kujua ndo mke wa Abdul. Akaanza kumsifia ooh she's hardworking, anaongea vizuri sijui nini. Kumbe angejuaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazushi tu wale watawadanganya watoto Wageni lbda

Ova
 
Back
Top Bottom