Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Zeze aka Shamim Mwasha namkumbuka enzi za forum ya DarHotwire miaka ya 2004/2005. Funny how Mzee Mengi (owner of DarHotwire, an affiliate of IPPMEDIA) went down with this bi.tch on almost exactly the same day.
Huyo Shamim alikuwa anachat DHW? Kuna nick nyingi nazikumbuka
 
Mzee wa ichenjezya mbozi umeongea maneno yenye mbolea
Mjini hapa ukiishi kufuata wenzio wanaishije utaangukia pua,kumbe wenzio wanauza ngada,heri pesa chache na starehe za kawaida zitakazodumu muda mrefu bila kukata,kuliko pesa na starehe nyingi zinazodumu muda mchache,....katika maisha inatakiwa UISHI NA UWE BORA ZAIDI YA JANA ila SIO UISHI ILI UWE BORA ZAIDI YA FLANI utaangamia,.... Kwangu mimi I don wanna be rich but i just wanna be successful!....tuogope shortcut katika maisha!
 
Alikuwa anajiita Zeze
I see... Memory zimesepa kama alikuwa ni group la kuchat Mchana time za Tanzania siwezi mpata fresh... zangu mie nilikuwa Night time za Tanzania. mwenye herufu ya Z namkumbuka SuZy

Dah na wewe Sky pia kumbe ulikuwa mdau kule nick yako pls maybe naweza kumbuka
 
I see... Memory zimesepa kama alikuwa ni group la kuchat Mchana time za Tanzania siwezi mpata fresh... zangu mie nilikuwa Night time za Tanzania. mwenzy herufu ya Z namkumbuka SuZy

Dah na wewe Sky pia kumbe ulikuwa mdau kule nick yako pls maybe naweza kumbuka
Batuli nilikuja nalo JF 2006, nilipotea kipindi flani kurudi nimesahau login. Ilibidi Sky Eclat aibuke.
 
Huyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.

Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.
mwanaume mstaarabu huwa anaonekana fala/ poyoyo mbele mwanamke,pia na mwanaume anayesomesha mtoto wa single mother naye huwa anaonekana poyoyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Falsafa....ila mkuu naye huyu miaka nyuma kuna kipindi kulikuwa na tetesi zile trip za kwa malikia wakati wanasoma walikuwa wanabeba..huyo jamaa mwenye mzigo yupo Coventry sasa hivi kapata stroke anaumwa dah maisha haya.
mwana f.a..au??
 
"Hao jamaa hawawezi kudumu kizuizini hata miezi mitatu"

Mkuu bado upo na huu Msimamo wako?
Usilolijua ni usiku mnene
Kwa drug dealer kukamatwa ni sehemu tu ya kazi hakuna kilichoharibika hapo yani no stress
Hao jamaa hawawezi kudumu kizuizini hata miezi mitatu
Na kinachowacost ni hicho kiumaarufu tu
 
Dah, tumetoka mbali , mambo ya Dar Hotwire, miaka hiyo.
Mkuda @Snickly katili ajabu hacheki anatembeza ban faster tu. unaona Removed by Snickly na ukilog out and log in unakuta ushakula ban saa nyingi...😎
 
Back
Top Bottom