Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Wauza madawa hawana plea bargaining, ndio maana unaona kiboko, yangayanga walifungwaLicha ya Abdul Kukiri kwa DPP asamehewe haijasaidia kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauza madawa hawana plea bargaining, ndio maana unaona kiboko, yangayanga walifungwaLicha ya Abdul Kukiri kwa DPP asamehewe haijasaidia kitu.
...Naona halijatajwa hapo. Wametaja gari tu!Lile ghorofa Mbezi Beach jamani
Askari magereza unafikiri hawapeleki moto ? Mfungwa anapata tabu mwanzo. Ila akishakaa miaka kazaa anakuwa familia hata na askari wa kike kama demu wanasogea hadi kotani.. hapo ndio mipango hupangwa mamaaaeee.. 😀😀😀na akikaa sana bila kuona mb oo, bikra inarudi automatikali, baada ya miaka 10 anakua m bichi kama wa form 1 vile
Sheria haitoi huruma, inatoa haki.Jamani watoto wao, Kheri Shamim angetoka awalee watoto.
Kwa kweli Consultant ni vigumu kuona tunapoteza nguvu kazi ya taifa hili katika hili janga na madawa ya kulevya, kuna watu wanapeta na biashara hii ambao ndiyo tunawaona vijana wkiendelea kuyoyoma mitaani, hata pale tunapopiga vita madawa haya. Lazima tuwe waangalifu na wa kweli katika vita hivi, kwani kuna pesa nyingi imewekezwa kwenye biashara hii na kama pesa hiyo ingewekezwa kwenye biashara halali leo taifa lingekuwa tumepiga hatua. Vyombo vya usalama bila ya shika wanawajua wahusika wa biashara hii lakini kwa sababu ya rushwa na kulindana ndiyo tunaona hii biashara haikomi.Watu kama hawa ilipaswa Serikali iwaahidi adhabu kidogo kwa makubaliano ya hawa kuutaja mtandao wao woooote kuanzia huko nje na humu ndani. Kuwatupa ndani maisha bila kuwakamua information za kutosha haitoshi
Huo mtandao unajulikana na wengi wao wapo jela. Unamjua kiboko?Watu kama hawa ilipaswa Serikali iwaahidi adhabu kidogo kwa makubaliano ya hawa kuutaja mtandao wao woooote kuanzia huko nje na humu ndani. Kuwatupa ndani maisha bila kuwakamua information za kutosha haitoshi
Ndio inawezekana vizuri kabisaHivi wanaweza kutoka kwa msamaha wa rais baadae?
Sawa hawakuwashikia hiyo ndude na ndio maana wamehukumiwa.,.... Ukipanda bange utavuna punyeto.Kwan walikua wanawashikia bastola wanunue unga
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi (Mahakama ya Mafisadi), imewahukumu kifungo cha maisha Mafanyabiashara Abdu Nsembo na Mkewe Shamim Mwasha baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kujihusisha na dawa za Kulevya aina ya Heroin .
Pia mahakama hiyo imetoa amri ya kutaifisha mali za Wahukumiwa ikiwemo gari aina ya Discover 4 ili liwe mali za Serikali, huku dawa hizo zikitakiwa kuteketezwa.
Hukumu ya kesi hiyo namba 4 ya mwaka 2020, imetolewa Jaji Elinaza Luvanda baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili kati ya Jamhuri na Utetezi na kujiridhisha kwamba Watuhumiwa wamekutwa na hatiani katika makosa mawili ya usafirishaji dawa za Kulevya.
Wawili hao walishtakiwa baada ya kudaiwa Mei Mosi, 2019 wakiwa eneo la Mbezi Beach, Wilaya ya Kinondoni, jijini DSM kinyume na sheria ya uhujumu uchumi walikutwa na dawa hizo.
Ikumbukwe hapa JF kupitia Member wake wanawafahamu fika.
Pia soma
Naunga mkono hoja.Walitakiwa kunyongwa kabisa watu wa dizaini hii si watu rafiki kabisa na taifa letu
Mjini kuna mambo mengi sana.Tena nasikia nsembo alikuwa bwana wa shoga ake shamimu (mboni) ndio bibie akaolewa naye kabisa....Kama ni kweli mboni amshukuru Mungu kumuepusha na Shari hii
Acha kuleta story za vijiweni wewe jamaa, inaonesha hata mkeo akipewa mimba utasema makonda.Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Kwa hiyo huwa hawajihusishi na biashara ya unga?Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Neno zitoTatizo misemo ya "woga wako ndio umaskini wako" siku hizi wadada wanaishadadia sana.
Msichana yuko tayari kukuona hata unaua ili mradi uwe na pesa,na utapendwa kama malaika.
Thamani ya utu wa mwanamke imeshuka kwa sababu ya wao kujifanya bidhaa inayoweza kununuliwa kwa pesa bila kujali ni za majini,mizimu au za damu.
Adhabu ikiwa ndogo hiyo biashara itaendelea kwa Kasi kubwa, alafu tutaanza Tena kulalamikaHukumu iliyotolewa ni kali kupita kiasi. Wangepunguziwa kidogo hata kifungo cha miaka 7 na faini. Mawakili wao wasaidie kwa kweli.
Msamaha wenyewe unaweza toka una miaka 70Mvua nyingi mno..... Yani kutoka ni msamaha au ufe.....
Hivo wafungwa wakifa huwa inakuaje?