Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,652
- 5,242
Uadilifu ni jambo muhimu...alimuacha mme wa kwanza kwa tamaa tu na kuolewa tena,what goes around comes around.Mie namuomba Mungu kila siku hata mahabusu aniepushe nayo. Mtoto kalegea, hapo leo chakula hakipandi, usingizi haupandi.. yaani maisha yameisha rotate 360⁰
Mke wangu wa ndoa aliondoka kwa mbwembwe leo anaugua kila muda anaita jina langu...huyo dada analipa sasa.
Hakuna maisha baada ya kifo, malipo ni hapa hapa kabda hujalala