Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Mie namuomba Mungu kila siku hata mahabusu aniepushe nayo. Mtoto kalegea, hapo leo chakula hakipandi, usingizi haupandi.. yaani maisha yameisha rotate 360⁰
Uadilifu ni jambo muhimu...alimuacha mme wa kwanza kwa tamaa tu na kuolewa tena,what goes around comes around.
Mke wangu wa ndoa aliondoka kwa mbwembwe leo anaugua kila muda anaita jina langu...huyo dada analipa sasa.
Hakuna maisha baada ya kifo, malipo ni hapa hapa kabda hujalala
 
...Na Hapo ndio tuna pot of autism a na Wenzetu waliondelea!
Sisi tunapokamata Mdukuzi anayeiba hela kupitia mitandao tunamfunga maisha...
Lakini wenzetu anaweza kuajiriwa jata na Benki husika, kama sio FBI, ili kusaidia katika kupambana na Udukuzi!
Ndio tunapotofautiana!!
Kwa hiyo hata huko mbele drug dealer mwenye uzoefu kama Carlos akikamatwa na shehena ya madawa atakuwa anadunda tu kitaa anapewa kazi mbadala eeeh???
 
Makosa ya dawa za kulevya hayako kwenye plea bargaining. Ila huyu mama angepunguziwa adhabu busara ilitakiwa itumike hapa angalau akalee watoto wale jamani. Waswahili walisema tamaa mbele mauti nyuma
Adhabu haipunguzwi kwa kuwa eti ana Watoto. Ingekuwa hivyo kile mwenye Watoto atakuwa anafanya makosa au atakuwa anauza madawa na akikamatwa anasingizia Watoto
Sheria haitoi huruma, inatoa haki
Kama alijua ana watoto kwa nini akauze madawa?
 
Uadilifu ni jambo muhimu...alimuacha mme wa kwanza kwa tamaa tu na kuolewa tena,what goes around comes around.
Mke wangu wa ndoa aliondoka kwa mbwembwe leo anaugua kila muda anaita jina langu...huyo dada analipa sasa.
Hakuna maisha baada ya kifo, malipo ni hapa hapa kabda hujalala
Hii wademu wajifunze. Tamaa mbaya sana, wengi huumia kwa ajiri ya tamaa ya pesa na vitu. Wengi hutuacha kwa mbwembwe ila wanapokimbiliaga huishia kulia kilio cha ng'ombe . Ndio ivyo kaishapotea huyo demu kutoka sio leo wala keshoo..
 
Kweli kabisa, kila kosa ni kosa. Na kila kosa lina ujira wa adhabu. Na kila adhabu ina kipimo. Kipimo cha adhabu yao ni haki yao. Ila kuna sehemu ya mwanadamu ambayo inajifunza. Miaka 15 au 20 ni mingi sana. Plus kusafisha ward ya mwaisela.. inatosha kabisa.. kumfunga mtu maisha mwenye age inayocheza 40 + na utahira.. anaweza ishi miaka 10 au mitano akavuta ni hasara.. siwatetei lakini naangalia kwenye jicho pana la maisha yetu ya kila siku
Umeeendeleza story kule mzee baba?
 
Be responsible, si kila makosa ya mwanaume lazima zigo atupiwe mwanamke. Angeweza kuchagua njia nyingine sahihi.

Hizo ni tabia ya kuwa over ambitious, umiliki kila kitu kizuri kuanzia mke, nyumba, magari, umwamba, heshima etc. Ndizo huwapekelea watu kujiingiza katika biashara hizi.

Tabia ya kuwa over ambitious zipo kwa jinsia zote ndio maana kila leo watu hufanya mambo illegal ili wapate pesa nyingi, Shamimu ni mdada wa mjini hasa, alimuacha mume wake wa mwanzo ili aolewe na Abdul, wote walioana wanapenda makubwa kwa njia yoyote ile, here we are.
Mkuu hakika umenena, huwezi mhurumia Shamimu as if ulikuwa body guard wake. Kama alihusika abebe msalaba wake. Asitafute huruma.
 
Vyombo vya usalama bila ya shika wanawajua wahusika wa biashara hii lakini kwa sababu ya rushwa na kulindana ndiyo tunaona hii biashara haikomi.
Ile list ya Bashite sijui iliishia wapi. Ni kweli Serikali inawajua mapapa wa hii kitu na wengi wao huwa wanapita VIP lounge huko ambako hakuna anayekagua mabegi yao
 
dah hapoo majutoo ndo yataanza. mwanamke nae atajuta kwanini alichukua bwana wa mtu kwanini alimuacha mume wake wakwanza. usiku wa leo utakuwa mrefu sana kwake.


marafiki watakutembelea tembelea baada ya miaka kadhaa wanakusahau tena kama watakuwa wanahamishwa hamishwa magereza ndo biashara imeisha.

polee kwa familia polee kwa watoto. hatima ya maisha yao imeishia hapoo.
 
Back
Top Bottom