Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

na akikaa sana bila kuona mb oo, bikra inarudi automatikali, baada ya miaka 10 anakua m bichi kama wa form 1 vile
Askari magereza unafikiri hawapeleki moto ? Mfungwa anapata tabu mwanzo. Ila akishakaa miaka kazaa anakuwa familia hata na askari wa kike kama demu wanasogea hadi kotani.. hapo ndio mipango hupangwa mamaaaeee.. 😀😀😀
 
Watu kama hawa ilipaswa Serikali iwaahidi adhabu kidogo kwa makubaliano ya hawa kuutaja mtandao wao woooote kuanzia huko nje na humu ndani. Kuwatupa ndani maisha bila kuwakamua information za kutosha haitoshi
Kwa kweli Consultant ni vigumu kuona tunapoteza nguvu kazi ya taifa hili katika hili janga na madawa ya kulevya, kuna watu wanapeta na biashara hii ambao ndiyo tunawaona vijana wkiendelea kuyoyoma mitaani, hata pale tunapopiga vita madawa haya. Lazima tuwe waangalifu na wa kweli katika vita hivi, kwani kuna pesa nyingi imewekezwa kwenye biashara hii na kama pesa hiyo ingewekezwa kwenye biashara halali leo taifa lingekuwa tumepiga hatua. Vyombo vya usalama bila ya shika wanawajua wahusika wa biashara hii lakini kwa sababu ya rushwa na kulindana ndiyo tunaona hii biashara haikomi.
 
Watu kama hawa ilipaswa Serikali iwaahidi adhabu kidogo kwa makubaliano ya hawa kuutaja mtandao wao woooote kuanzia huko nje na humu ndani. Kuwatupa ndani maisha bila kuwakamua information za kutosha haitoshi
Huo mtandao unajulikana na wengi wao wapo jela. Unamjua kiboko?
 
dawa za kukevya ni hatari sana. jamani njoeni huku ipalamwa tulime maharage huwezi kufungwa wala polisi hawawezi kukusumbua.
kwa kifupi tufanye biashara halali tuachane na biashara haramu tutazitesa familia zetu bureee
 

Abdul Nsembo na Shamim Mwasha
Full story ya maisha ya wawili hawa inasimuliwa na wenyewe bwana na bibi harusi ktk Video wedding / reception na walikutana vipi wawili hawa ambao leo pia mbali ya pingu za maisha pia wameishia kwa pamoja kuhukumiwa kwenda jela maisha. End of the Story.
 
Neno zito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…