Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Angekaza tu mzee baba. CCTV camera kitu gani. Hazina sauti na hazitoi detaiz za ulichonacho .. hata kama unga kwa CCTV bado nakukataa labada kama CCTV zinazo scan na ku display details za mzigo ila hizi za kawaida na kukataaa tu. Ligi ingemtoa kwenye kifungo cha maisha.. sasa Shamimu ndio atomb.wi tena hadi afie huko ? au wanatutania

Hivi unafikiri ni rahisi get away kama unavyo fikiri na kuandika hapa? Hahahaha
 
Hivi yule Dogo kipindi kile alikua anabisha hapa tunamweleza kesi za namna hii siku hizi ni ngumu sana akawa anabisha mara sijui watoto wa mjini na blah blah yuko wapi sijui aje aone mvua watazopigwa wadogo zake wema
Natamani aje hapa!! Kiko wapi sasa mambo haya yanatisha kucheza michezo hatari kana kwamba Serikali itakuheshimu sababh uan hela. Jamani Nsebo na Shamim tayari wamepanda karandinga muda huu.
 
Hizi picha zimenisikitisha na kunitafakarisha ,wadau kama michongo haisomi tueendeleeni tu kubet hizi shortcut nyingine sio kabisa
Screenshot_20210331-145112_Instagram.jpg
Screenshot_20210331-145116_Instagram.jpg
Screenshot_20210331-145122_Instagram.jpg
 
Ile siku waliyovamiwa na watu kitengo cha madawa ya kulevya sijuia askari nyumbani na zama zilivyokua alitakiwa asome alama za nyakati. Angeplay victim of circumstances ingeweza kumsaidia. Ila sasa watu wamekuja ukamficha mume kwenye dari, wewe nae biashara yako mjini haieleweki kila siku una vibubu vya milioni lazima wakuunganishie.

"Angeplay victim of circumstances" baada ya kula utamu.

Sidhan kama tunaweza jenga jamii bora kwa kuhamasisha unafiki kama njia bora ya kutatua matatizo.

I feel sorry kwa watoto watakosa mtu wa kuwaangalia, ila I can't imagine malezi gani wangepata from their mom.
 
Natamani aje hapa!! Kiko wapi sasa mambo haya yanatisha kucheza michezo hatari kana kwamba Serikali itakuheshimu sababh uan hela. Jamani Nsebo na Shamim tayari wamepanda karandinga muda huu.
Waagane kabisa wanaweza wasionane tena mpaka paradiso
 
Tatizo misemo ya "woga wako ndio umaskini wako" siku hizi wadada wanaishadadia sana.

Msichana yuko tayari kukuona hata unaua ili mradi uwe na pesa,na utapendwa kama malaika.

Thamani ya utu wa mwanamke imeshuka kwa sababu ya wao kujifanya bidhaa inayoweza kununuliwa kwa pesa bila kujali ni za majini,mizimu au za damu.
Nakazia, lkn ndo tufanyeje sasa na shetani kashikilia usukani
 
Back
Top Bottom