VIpi watoto wa hao walioathirika na dawa zao?Jamani watoto wao, Kheri Shamim angetoka awalee watoto.
Ulijuaje kuwa aliwekewa?Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
12 na 5Watoto wao wana miaka mingapi???
Monica atawaleaJamani watoto wao, Kheri Shamim angetoka awalee watoto.
Monica atawaleaDooh shamimu anawaacha kina iqra wadogo masikini
Mbona shamim hajaachiwa?Hii code nilipata mapema sana dah....
Ova
Ukikiri tu umeishaaLicha ya Abdul Kukiri kwa DPP asamehewe haijasaidia kitu.
Angekaza tu mzee baba. CCTV camera kitu gani. Hazina sauti na hazitoi detaiz za ulichonacho .. hata kama unga kwa CCTV bado nakukataa labada kama CCTV zinazo scan na ku display details za mzigo ila hizi za kawaida na kukataaa tu. Ligi ingemtoa kwenye kifungo cha maisha.. sasa Shamimu ndio atomb.wi tena hadi afie huko ? au wanatutania
Natamani aje hapa!! Kiko wapi sasa mambo haya yanatisha kucheza michezo hatari kana kwamba Serikali itakuheshimu sababh uan hela. Jamani Nsebo na Shamim tayari wamepanda karandinga muda huu.Hivi yule Dogo kipindi kile alikua anabisha hapa tunamweleza kesi za namna hii siku hizi ni ngumu sana akawa anabisha mara sijui watoto wa mjini na blah blah yuko wapi sijui aje aone mvua watazopigwa wadogo zake wema
Weeee hebu kausha, wanajulikana hawa kindakiInauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Ile siku waliyovamiwa na watu kitengo cha madawa ya kulevya sijuia askari nyumbani na zama zilivyokua alitakiwa asome alama za nyakati. Angeplay victim of circumstances ingeweza kumsaidia. Ila sasa watu wamekuja ukamficha mume kwenye dari, wewe nae biashara yako mjini haieleweki kila siku una vibubu vya milioni lazima wakuunganishie.
Usiombe uwe na ndugu teja[emoji848][emoji848]Du! Hio hukumu sio mchezo,hata hivyo athari ya madawa ya kulevya kwa jamii ni kubwa sana,watoto wa watu wanakufa wengine wanakuwa vichaa
Halafu bado watoto wadogo sana walee[emoji848]Nawasikitikia watoto wake jamani kama mzazi inauma sana.
Waagane kabisa wanaweza wasionane tena mpaka paradisoNatamani aje hapa!! Kiko wapi sasa mambo haya yanatisha kucheza michezo hatari kana kwamba Serikali itakuheshimu sababh uan hela. Jamani Nsebo na Shamim tayari wamepanda karandinga muda huu.
Nakazia, lkn ndo tufanyeje sasa na shetani kashikilia usukaniTatizo misemo ya "woga wako ndio umaskini wako" siku hizi wadada wanaishadadia sana.
Msichana yuko tayari kukuona hata unaua ili mradi uwe na pesa,na utapendwa kama malaika.
Thamani ya utu wa mwanamke imeshuka kwa sababu ya wao kujifanya bidhaa inayoweza kununuliwa kwa pesa bila kujali ni za majini,mizimu au za damu.
Monie si yupoDooh shamimu anawaacha kina iqra wadogo masikini