Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Asingekili, hata utaifishaji wa mali ungekuwa na mtiti. Ila kajimaliza hata wakiachiwa kesho bado atakuja ishi mtaani kama jela tuUkikiri tu umeishaa
Nimesikitika Sana. Hii Hukumu ni Kali Mno.Daaah Aiseee Inasikitisha sana ,Imeisha hiyoooooo!! Life sentence? Pole kwa familia.
Huu uzi inabidi kamishna wa kuzuia na kupambana na madawa, akusanye watu kama hawa.. sio wa kuwaachia hata kidogo.. wakifika pale wakipigwa popo mbili zavuka mto, wataongea kila kituKabisa. Anatoa maelezo ya kujichanganya sana. Mara anauza lakini haweki ndani!
Watu wa unga wana viapo vya hatari, ukikiuka unaweza kuiponza familia yako nzima.Watu kama hawa ilipaswa Serikali iwaahidi adhabu kidogo kwa makubaliano ya hawa kuutaja mtandao wao woooote kuanzia huko nje na humu ndani. Kuwatupa ndani maisha bila kuwakamua information za kutosha haitoshi
Huyo Mbonii alivyopokonywa alilia balaa, na kufosi juu arudiwe[emoji16], unaona sasa kumbe alikuwa anaepushiwa na jela la maisha, hii inatufundisha ukiona jambo limegoma achana nalo ukilazimisha yatakukuta makubwaaTena nasikia nsembo alikuwa bwana wa shoga ake shamimu (mboni) ndio bibie akaolewa naye kabisa....Kama ni kweli mboni amshukuru Mungu kumuepusha na Shari hii
National Geographic ChannelWee bwana unaongea tuu...the amount of money these people make ni balaaa....kama una dstv angalia program moja inaitwa narco wars ndio utajua balaa ya hii biashara. Inakuwa kwenye diacovery channel kama sikosei.
Ni Mungu tu anakuwa anakukomeshaBiashara ya madawa ina kama laanaa
Mwisho wake always ni mmbaya
Kuna kufungwa,kuna wewe mfanyabiashara hiyo kuwa teja,na kuna kufaaaa
Watu sijui bado hawajaliona hilo
Ova
Hakuna aliyefika hata 13 yrs may be walozaa before kuona wao!halafu huu msala ungekua wa mboni huu!Shamim kaiba bwana kumbe anauingia motoWatoto wao wana miaka mingapi???
Sio moja wana matatuLile ghorofa Mbezi Beach jamani
Zaidi ya miaka mitano kifungo.....Je! Sheria Inasemaje kwa wanandoa Wanapofungwa Jela maisha, Hatma Ya Ndoa Yao Inakuaje?.
Ai ai ai. Kumbe walikuwa wanatesa namna hii? Wewe unayehangaika kwenda feri kuchukuwa samaki wa kukaanga uje uuze kwa mafungu upate cha kulisha familia unajimbia nimemkosea nini Mungu jamani mbona wenzangu sioni wakishughulika lakini wanatesan namna hii?Basi na huu wimbo kwny hii video inahuzunisha kweli kweli. Ila akiwa hana make up ni mzuri zaidi hapo kwny reception na hyo make up kawa kama mzee
Nsembo ameanza kuuza ngada siku nyingi sanaaa!Shamim ni accomplice kwa sababu askari walivofika kwao alipoulizwa mmewe alipo alidanganya askari akasema kasafiri for two weeks walivotoka tu nje wakaskia kishindo(kumbe mshikaji anaruka kutoka darini)wakavamia wakamkuta ndo wakawakamata wote wawili(kwa mujibu wa nlivoskia hukooo kwa watu wa mbezi beach)sInauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Nilikuwa sifahamu marekebisho haya kwa Sasa. Ni Hatari Sana.Hizi case za madawa ya kulevya sheria mpya imeweka adhabu kali sana. Adhabu ndogo ni hicho kifungo cha maisha. Pole sana kwao na sisi wengine pia iwe fundisho
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Magu alicheza kama Pele kwenye hiliHiyo sheria Mwendazake Magufuli ali
saini kwa wahalifu wa madawa ya Kulevya
Huyu ni Don kitambo sanaGramu 400 kifungo cha maisha
Sijui wale masharobalo waliokutwa na kilo 30 itakuwaje
Nadhani ni pigo kwa familia
duh! Hakika ni pigo juu ya pigo kwa Style hiyo.Zaidi ya miaka mitano kifungo.....
ndoa inakufa automatically