Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Je! Sheria Inasemaje kwa wanandoa Wanapofungwa Jela maisha, Hatma Ya Ndoa Yao Inakuaje?.
 
Tena nasikia nsembo alikuwa bwana wa shoga ake shamimu (mboni) ndio bibie akaolewa naye kabisa....Kama ni kweli mboni amshukuru Mungu kumuepusha na Shari hii
Huyo Mbonii alivyopokonywa alilia balaa, na kufosi juu arudiwe[emoji16], unaona sasa kumbe alikuwa anaepushiwa na jela la maisha, hii inatufundisha ukiona jambo limegoma achana nalo ukilazimisha yatakukuta makubwaa
 
Biashara ya madawa ina kama laanaa
Mwisho wake always ni mmbaya
Kuna kufungwa,kuna wewe mfanyabiashara hiyo kuwa teja,na kuna kufaaaa

Watu sijui bado hawajaliona hilo

Ova
Ni Mungu tu anakuwa anakukomesha
 
Basi na huu wimbo kwny hii video inahuzunisha kweli kweli. Ila akiwa hana make up ni mzuri zaidi hapo kwny reception na hyo make up kawa kama mzee
Ai ai ai. Kumbe walikuwa wanatesa namna hii? Wewe unayehangaika kwenda feri kuchukuwa samaki wa kukaanga uje uuze kwa mafungu upate cha kulisha familia unajimbia nimemkosea nini Mungu jamani mbona wenzangu sioni wakishughulika lakini wanatesan namna hii?
 
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Nsembo ameanza kuuza ngada siku nyingi sanaaa!Shamim ni accomplice kwa sababu askari walivofika kwao alipoulizwa mmewe alipo alidanganya askari akasema kasafiri for two weeks walivotoka tu nje wakaskia kishindo(kumbe mshikaji anaruka kutoka darini)wakavamia wakamkuta ndo wakawakamata wote wawili(kwa mujibu wa nlivoskia hukooo kwa watu wa mbezi beach)s
 
Back
Top Bottom