Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
What goes around, comes around! Maisha ya raia wameyatupa kama mchezo, duhDu! Hio hukumu sio mchezo,hata hivyo athari ya madawa ya kulevya kwa jamii ni kubwa sana,watoto wa watu wanakufa wengine wanakuwa vichaa
Watu wanatafuta huruma baada ya majanga kuwakutaStry za makonda ziko kwenye mitandao tu
Uzushi hata lile tukio la yule dada mmiliki wa saloon kinondoni mtaa fulani walisema hivyo hvyo oh sjui makonda alikuwwpo alishka zote hzo kuzusha tu
Ova
Nihatari kusafiria nyota ya mwenzio utaishaAna hoja ya msingi, wakubwa wanaoshiriki wizi wa mabilioni ya umma wapo uraiani na maisha ya bata kama kawa... Mfano waliogawana mabilioni kutoka Mkombozi Bank na issue mpaka ikatua mjengoni si wapo mpaka leo??
HahahahhhHaaahaaa
Mi nilijiona boyaa asee
Sio siri nilikuwa nikimuona na range yake roho inauma kinoma[emoji16][emoji16][emoji16]
A sea of boobs ass and mbususuUna unogelea na kijiji cha pisi kali 😀😀
Tena wana bahati wako Tz, ingekuwa China basi hata maisha hawangepata hawa!kama imethibitika kabisa pasi na shaka kwamba walikuwa ni pusha,basi hiyo hukumu pengine ni ndogo pia. Hasa ukianza kuwaangalia matejanwanavyo hangaika na drugs adiction.Pushas wanastahili huku kalo.
Haiwezi saidia kwa mujibu sheria, makubaliano kati ya DPP na mtuhimiwa ( plea bargaining ) yana mazingira yake, si ktk hili!Licha ya Abdul Kukiri kwa DPP asamehewe haijasaidia kitu.
Hujakosea hata kidogoNsembo ameanza kuuza ngada siku nyingi sanaaa!Shamim ni accomplice kwa sababu askari walivofika kwao alipoulizwa mmewe alipo alidanganya askari akasema kasafiri for two weeks walivotoka tu nje wakaskia kishindo(kumbe mshikaji anaruka kutoka darini)wakavamia wakamkuta ndo wakawakamata wote wawili(kwa mujibu wa nlivoskia hukooo kwa watu wa mbezi beach)s
Inakuaga lini?Wee bwana unaongea tuu...the amount of money these people make ni balaaa....kama una dstv angalia program moja inaitwa narco wars ndio utajua balaa ya hii biashara. Inakuwa kwenye diacovery channel kama sikosei.
Ayaaaaaa... utafaidaaa dah! Upo zako visiwa vya carebean na watoto kama wamejiumba, na Cigar mdomoni , uko kwenye kipensi cha hawaii na mkononi upo na grace ya scotch whiskey.. mkononi saa moja matata sana ya rolex ina ng'aaa kama juaa la dar es salaam.. watoto wanakurukia rukia tu kama babu yao.. hapo umepiga sun grass moja expenisve matata sanaaa😀😀😀😀A sea of boobs ass and mbususu
Nilijaribu kuweka kama yeye almanusura nipake heart attack, si kwa mipresha ile...ikabidi nikiwa namuona najisikia wivu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vibubu challenge hahaha!kwa mwezi wanaweka million 10!wenzao haya 50k hatufikishi
Sawa kamanda, umetisha aisee! 🤣 🤣 🤣 Tengeneza 'prison break' ya Bongo basi...Huyu shamim lazima nikamtoroshe gerezani, mtoto mtamu sana huyu kukaa gerezani
Askari walikuwa naamini wana uhakika yupo 100%, toka yao ilikuwa ya kutunga sheria mpya ya kurudi. Mission kama hizo unakuta manjangu ( informer ) wapo eneo la tukio hata wiki wanaangalia movement zako. Ukichangana na Abdul hakuwa na mbinu za kimedani wafaa.. maana hata simu zake naamini zilikuwa zinaonesha alipo na movement kitu ambacho walijua demu anadanganya, isipokuwa Shamimu angejitetea alificha kwasababu hakuamini kama ni askari na mume wake hupokea vitisho etc.. 😀😀Hukakosea hata kidogo
Huko darini sijui kulikuwa na panya, kilichomshusha fastaaa ni nini.....mtu akizoea AC bana
Kabisa japo hawawezi kuachiwaAsingekili, hata utaifishaji wa mali ungekuwa na mtiti. Ila kajimaliza hata wakiachiwa kesho bado atakuja ishi mtaani kama jela tu
Sheria ya sasa hivi ni kali sana mrangi utaniambiaKweli wakikata rufaa watachomoka
Ova
Ni kweli, ila ange fight kwa kutegua mitego hata mama atoke atunze familia. Labda kama jamaa amekuwa mmbinafsi zaidi ya mke wake kuwa huru. Ila tundu la mke kuwa huru lilikuwepo.. kuhusu Abdul asingekili mbeleni angekta rufaa na kutafuta mipenyo ya kiufundi kuua ya mihadarati.. issue hata kama umekutwa na mzigo bado kiufundi unachomoka, mahakama zetu ni homa za vipindi.Kabisa japo hawawezi kuachiwa
Sheria siku hizi imekaza mnoo mnoo, na stone alivyokuwa hataki kuona kiumbe chochote kinamiliki hela ndo kabisa akatia nyundoo ndii
Watatoka, kuna mambo ya kiufundi mengi wakicheza nayo vizuri wanatoka. Kuna sehemu mwamba alizidisha ugumu wa jambo lake hasa alipo enda ku confess kwa DPP ingawa nayo sio isseu anaweza pindua vile vile . Kufungwa maisha ni mbaya sana.. ni kweli wameumiza sana watoto wa watu, lakini msamaha kwa binadamu ane jutia hutolewa hata na Mungu. Mie nikiwa mmoja wapo kaka yangu alikuwa kama chizi na zilimuua dawa, nilishasamehe.. kutokusamahe haindoi tatizoSheria ya sasa hivi ni kali sana mrangi utaniambia
Hiyo hukumu inaenda kukaziwa tu
Time will tell..
Kama Pakistan vileNilijua tu hiyo inafuata
Hizi kesi za madawa sahvi
Hukumu zake syo mchezo
Ova
"Get rich or die trying"This is Fact mkulu
Wikedays mida ya saa tatu au saa nne usiku. Ni national geographic channelInakuaga lini?