Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Ana hoja ya msingi, wakubwa wanaoshiriki wizi wa mabilioni ya umma wapo uraiani na maisha ya bata kama kawa... Mfano waliogawana mabilioni kutoka Mkombozi Bank na issue mpaka ikatua mjengoni si wapo mpaka leo??
Nihatari kusafiria nyota ya mwenzio utaisha

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
kama imethibitika kabisa pasi na shaka kwamba walikuwa ni pusha,basi hiyo hukumu pengine ni ndogo pia. Hasa ukianza kuwaangalia matejanwanavyo hangaika na drugs adiction.Pushas wanastahili huku kalo.
Tena wana bahati wako Tz, ingekuwa China basi hata maisha hawangepata hawa!
 
Nsembo ameanza kuuza ngada siku nyingi sanaaa!Shamim ni accomplice kwa sababu askari walivofika kwao alipoulizwa mmewe alipo alidanganya askari akasema kasafiri for two weeks walivotoka tu nje wakaskia kishindo(kumbe mshikaji anaruka kutoka darini)wakavamia wakamkuta ndo wakawakamata wote wawili(kwa mujibu wa nlivoskia hukooo kwa watu wa mbezi beach)s
Hujakosea hata kidogo

Huko darini sijui kulikuwa na panya, kilichomshusha fastaaa ni nini.....mtu akizoea AC bana
 
Wee bwana unaongea tuu...the amount of money these people make ni balaaa....kama una dstv angalia program moja inaitwa narco wars ndio utajua balaa ya hii biashara. Inakuwa kwenye diacovery channel kama sikosei.
Inakuaga lini?
 
A sea of boobs ass and mbususu
Ayaaaaaa... utafaidaaa dah! Upo zako visiwa vya carebean na watoto kama wamejiumba, na Cigar mdomoni , uko kwenye kipensi cha hawaii na mkononi upo na grace ya scotch whiskey.. mkononi saa moja matata sana ya rolex ina ng'aaa kama juaa la dar es salaam.. watoto wanakurukia rukia tu kama babu yao.. hapo umepiga sun grass moja expenisve matata sanaaa😀😀😀😀
 
Hukakosea hata kidogo

Huko darini sijui kulikuwa na panya, kilichomshusha fastaaa ni nini.....mtu akizoea AC bana
Askari walikuwa naamini wana uhakika yupo 100%, toka yao ilikuwa ya kutunga sheria mpya ya kurudi. Mission kama hizo unakuta manjangu ( informer ) wapo eneo la tukio hata wiki wanaangalia movement zako. Ukichangana na Abdul hakuwa na mbinu za kimedani wafaa.. maana hata simu zake naamini zilikuwa zinaonesha alipo na movement kitu ambacho walijua demu anadanganya, isipokuwa Shamimu angejitetea alificha kwasababu hakuamini kama ni askari na mume wake hupokea vitisho etc.. 😀😀
 
Kabisa japo hawawezi kuachiwa

Sheria siku hizi imekaza mnoo mnoo, na stone alivyokuwa hataki kuona kiumbe chochote kinamiliki hela ndo kabisa akatia nyundoo ndii
Ni kweli, ila ange fight kwa kutegua mitego hata mama atoke atunze familia. Labda kama jamaa amekuwa mmbinafsi zaidi ya mke wake kuwa huru. Ila tundu la mke kuwa huru lilikuwepo.. kuhusu Abdul asingekili mbeleni angekta rufaa na kutafuta mipenyo ya kiufundi kuua ya mihadarati.. issue hata kama umekutwa na mzigo bado kiufundi unachomoka, mahakama zetu ni homa za vipindi.
 
Sheria ya sasa hivi ni kali sana mrangi utaniambia

Hiyo hukumu inaenda kukaziwa tu

Time will tell..
Watatoka, kuna mambo ya kiufundi mengi wakicheza nayo vizuri wanatoka. Kuna sehemu mwamba alizidisha ugumu wa jambo lake hasa alipo enda ku confess kwa DPP ingawa nayo sio isseu anaweza pindua vile vile . Kufungwa maisha ni mbaya sana.. ni kweli wameumiza sana watoto wa watu, lakini msamaha kwa binadamu ane jutia hutolewa hata na Mungu. Mie nikiwa mmoja wapo kaka yangu alikuwa kama chizi na zilimuua dawa, nilishasamehe.. kutokusamahe haindoi tatizo
 
Back
Top Bottom