Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Lakini inafika ili uwe na amani moyoni, unaachia. Ni ngumu inauma sana. Lakini inafikia mahala usamehe, kukaa pasipo kusamehe nayo ni adhabu mkiiKusamehe ngumu sana, ndugu yangu mmoja zamani alipigwa nusu kufa...alikuwa akipata alosto anatembea kutoka kwao kawe hadi kwetu tabata ili umpe hata buku 2 tu akapone (ukiona anavyotetemeka utampa tu)....na mara nyingi alikuwa anafika usiku mnene watu tumelala kwahiyo anaruka ukuta anaanza kuwagongea madirishani...sasa siku hiyo alikutwa na sungu sungu walipiga sana...cha ajabu sasa alikujaga kufanikiwa kuacha