Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana magorofa kibao mbezi
Huyo Mboni alivyopokonywa alilia balaa, na kufosi juu arudiwe[emoji16], unaona sasa kumbe alikuwa anaepushiwa na jela la maisha, hii inatufundisha ukiona jambo limegoma achana nalo ukilazimisha yatakukuta makubwaa
Watoto wa kike wana wazazi wao wengine, labda huyo wa kiume. Hivi Kwani hawana ndugu hadi mashoga kulea watoto?Mungu amlipe Makonda na asimlipe aliyekua anauza unga. Huyo Mungu wa wapi? Shamim na yeye kwanini alimficha mume wake. Wangekua na akili mume angejitokeza mapema mkewe asingehusika kwenye hii kesi. Ona sasa wanafungwa maisha wote. Watoto wanabaki kuteseka. Mashoga watawasaidia wataenda watachoka ukizingatia vitoto ndio kwanza viko primary
...I some tens Post yangu uone kama unastahili kuijibu kama ulivyoijibu Mkuu.Kwa hiyo hata huko mbele drug dealer mwenye uzoefu kama Carlos akikamatwa na shehena ya madawa atakuwa anadunda tu kitaa anapewa kazi mbadala eeeh???
Wametaja gari tu ndio maana nikauliza alikuwa hana nyumba?
Judge amesema; Mali pamoja zao zote pamoja na gari aina ya ......
Pengine hiyo gari waliiweka nje ya mali zao.
Walipokuwa wanauza,hawakufikiria jinsi wanaua watoto wa watu.Jamani watoto wao, Kheri Shamim angetoka awalee watoto.
Mbona hukwenda kutoa ushahidi. Ingewasaidia sana. Washauri wakate rufaa ukatoe ushahidi. Itakuwa bora kuliko porojo za humu!Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Duuh nimeona hata hapo mahakamani ana confidence balaa, anasema maamuzi ni ya jaji mmoja, so mambo yatakuwa mazuri mbele, alikuwa anawaambia ndugu zake wakilia...ila baadae na yy akaangua kilio, hataki camera wamuone akajikinga kwenye ukuta[emoji22]Watatoka, kuna mambo ya kiufundi mengi wakicheza nayo vizuri wanatoka. Kuna sehemu mwamba alizidisha ugumu wa jambo lake hasa alipo enda ku confess kwa DPP ingawa nayo sio isseu anaweza pindua vile vile . Kufungwa maisha ni mbaya sana.. ni kweli wameumiza sana watoto wa watu, lakini msamaha kwa binadamu ane jutia hutolewa hata na Mungu. Mie nikiwa mmoja wapo kaka yangu alikuwa kama chizi na zilimuua dawa, nilishasamehe.. kutokusamahe haindoi tatizo
Nimeshangaa kweli....yaan vimefanana balaaa[emoji848]Kumbe sio mapacha wale
Ndio ile mchuma janga hulana wa kwao. Wameleta majanga kwa familia nzima. Hopeful kuna mtu anyeeleweka wa kuwatunza na kuwasimamiaJamani watoto wao, Kheri Shamim angetoka awalee watoto.
Milioni nitambe[emoji16][emoji16]ulijaribu kuweka million kwenye kibubu
Hawezi kupenya. Maana aliandika barua ya kukubali yeye ni drug dealer.Naimani akikata rufaaa atapenya awe na wakili mwelewa wa mambo
Acha ujinga anayefurahia majanga ya wengine ni mchawi na sadist asiye na furaha maisha mwake, Mimi silogeki mkuu na siwezi furahia matatizo ya wengine
Choose your companion wisely!Mimi mke wake namuonea huruma... kesi ni ya mwanaume hiyo