Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Hii hukimu imekua Kali Sana kwa upande wa shamimu
labda cjui uhusika wake kweny hio biasharà ,
Wangempiga tu miaka kadhaa;
Any way ila naskia wanatakaa kukataa rufaaa;

Mbaka Mali zinatakiwa zitaifishwe
 
Weww ndio ukajinyee ulale kukaa kutunga uwo kisa hujulikani [emoji16][emoji38]
Nitunge uwongo upi na ili unisaidie nini sasa we ma.laya mzee muuza chapati na u.chi?

Wewe ndo maana unatukanwaga humu, sababu ya kimbelembele na kudandia visivyokuhusu

Ndo maana uliambiwa una michapati myeusi michafu kama wewe watu hawazitaki

Domo chafu, michapati mibaya, lione kazi kujichekesha chekesha mfyuuu..
 
Nitunge uwongo upi na ili unisaidie nini? sasa we ma.laya mzee muuza chapati na u.chi

Hahahahahaga umenichekesha....tuendelee na yetu acha hasira
 
Vick unanichamba na mimi
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji16.png

Huwezi amini na mimi niligeuka kuwa kilaza asee na alinikamata kwelikweli

Vick unanichamba na mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]

Huwezi amini na mimi niligeuka kuwa kilaza asee na alinikamata kwelikweli
Pole mwaya,kuna watu walijiunderestimate. Maana mwenzao anaweka million kwa wiki,siku. Wenyewe hata elfu kumi tu ni shida. Watu wakawa wanajidharau. Kumbe mwenzao ni drug dealer.
 
Nitunge uwongo upi na ili unisaidie nini? sasa we ma.laya mzee muuza chapati na u.chi

Wewe ndo maana unatukanwaga humu, sababu ya kimbelembele na kudandia visivyokuhusu

Ndo maana uliambiwa una michapati myeusi michafu kama wewe watu hawazitaki

Domo chafu, michapati mibaya, lione kazi kujichekesha chekesha mfyuuu..

Ona sasa masikini weeh matusi yote ya nini [emoji12][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji16][emoji38][emoji38] utakua uko na makasiriko sana si kwa povu hilo COMEDOWN
 
Hawajanyanganyana ila si unajua Mboni alikuwa shamba la bibi,sasa Abdul nae alipita kisela tu.

Bora umwambia zero brain huyo anachojua ni kutunga uwongo tu sijui anapata faida gani[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
 
Unajua kipindi kile cha cha uhujumu uchumo andikeni barua ma makosa haya nayo yaliwekwa kwenye kundi hilo mdio wengi waliamua kuandika barua baadae watu wa madawa wakalataliwa ndio tatizo hapo lilipokuja ..
Mungu amsaidie shamim atokea huyo mumewe hata akibaki huko sawa tu yeye ndio sbb ya yote haya

Chief, when you are an accomplice, the sentence is not forgiven nor forgotten! It’s either minimized or co currently!

History ya Nsembo iko wazi sana kuhusu ushiriki wake katika uuzaji wa dawa haramu ! Shamimu knew this and she kept it a secret!
 
Naona watu wanajadili kwa mioyo zaidi kuliko akili. Nilitarajia watu waoneshe kisheria bi dada kaonewaje. Ila naona ni emotions ambazo hata jaji atakuwa alikuwa nazo haswa akijua watuhumiwa ni wazazi.

Ila choices have consequences!
 
Itakuwa ushahidi umeonyesha na yeye anahusika la sivyo asingehukumiwa..wangapi wanafungwa ila wake zao wapo nje?..sisi raia huku nje hatuwezi elewa labda kama ulikuwepo mahakamani
Nilikuwepo ndio
 
Chief, when you are an accomplice, the sentence is not forgiven nor forgotten! It’s either minimized or co currently!

History ya Nsembo iko wazi sana kuhusu ushiriki wake katika uuzaji wa dawa haramu ! Shamimu knew this and she kept it a secret!

Hujaelewa my point ni kwamba hizi kesi zao ziliwekwa kwenye uhujumu uchumi na ikaja tangazo wenye kesi hizo waandike barua nao wakajiingiza humo baadae serikali watu wa unga wakasema hampo kwenye hili tangazo..
Kuhuyu Accomplice yeye shamim alichemka toka mwanzo kusema mumewe hayupo nyumbani that was the big mistake ..

Yes anahistoria hiyo ila kipindi wanamkamata hakua na lolote alishabaki na maisha ya kawaida sana sana kilichokua kinaonekana nje tofauti na inside
 
Hapana! Shamimu kaacha ndoa yake ya kwanza kwa sababu mume alioa mke mwingine (pengine kinyume na kiapo kati yao) ?!

Kampata Nsembo way after ameachana na mume wake wa kwanza wa ndoa na kuwa ‘dada wa mujini’!

Bora useme wewe humu watu wanatunga sana ukijaribu kuwaelewesha wanakuja na matusi kama kuna ugomvi[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16]...
Kabisa shamim alikaa karibu miaka mi 4 ndio kukutana na Nsembo
 
Back
Top Bottom