Mwangalie usoni vyema kataharuki hatari.Imagine jamani[emoji848]
Ila namuona huyo nsembo mahakamani ana confo balaa, anasema hayo ni maamuzi ya jaji mmoja! Mbele mambo yatakuwa bien
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwangalie usoni vyema kataharuki hatari.Imagine jamani[emoji848]
Ila namuona huyo nsembo mahakamani ana confo balaa, anasema hayo ni maamuzi ya jaji mmoja! Mbele mambo yatakuwa bien
Hata wao wamesababisha watoto wengi wa mitaani kwa kuharibu wazazi wao.Jamani watoto wao, Kheri Shamim angetoka awalee watoto.
Hukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
Chawa nenda shambani ukalime...upunda sio ujanjaMakonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
Kifo, Jela Au Taasisi Ndio Mwisho.. RIP LangaBiashara ya madawa ina kama laanaa
Mwisho wake always ni mmbaya
Kuna kufungwa,kuna wewe mfanyabiashara hiyo kuwa teja,na kuna kufaaaa
Watu sijui bado hawajaliona hilo
Ova
Sasa roho inakuuma kivip wakati kila mtu ana maisha yake hapa town?!🤣🤣Haaahaaa
Mi nilijiona boyaa asee
Sio siri nilikuwa nikimuona na range yake roho inauma kinoma[emoji16][emoji16][emoji16]
Yeah alikuwa amebana kilio, japo anasema "mi silii, huyoo hapo ndo analia "akielekeza kidole kwa mkewe[emoji848]Mwangalie usoni vyema kataharuki hatari.
Mboni Masimba mamaa Etoo!Mboni Mhita au Mboni gani?
Naona watu wanajadili kwa mioyo zaidi kuliko akili. Nilitarajia watu waoneshe kisheria bi dada kaonewaje. Ila naona ni emotions ambazo hata jaji atakuwa alikuwa nazo haswa akijua watuhumiwa ni wazazi.
Ila choices have consequences!
Facts, though haihalalishi kuwa tufanye maovu..Acha roho mbaya hujui ww utaishia wap hayo maneno waachie watoto wa kike kina mange kimambi sisi wanaume safari bado tuombe mwisho mwema mkuu tusifrahie matatizo ya mwanaume mwenzetu
Mm hata siungi mkono iyo hoka ya kumuokoaSasa kesi ile ina tofauti gani na hii kama mjadala wa kumuokoa Shamimu ni kwamba ako na watoto wadogo?
Mkuu sijasema tufanye maovu kuna muda maovu yanakufata haya sio mambo ya kuchekana tuchekane kweny mambo ya kawaida kuachwa na demu hayo ndio huwa tunachekanaFacts, though haihalalishi kuwa tufanye maovu..
Out of consciousWe endelea tu...mwendo ni ule ule...mlivyokua mnawaharibu wanetu mlikua mnaona raha...pumbavu
Wee kikaragosi muuza chapati chafu una hamu na mimi eeh?Bora umwambia zero brain huyo anachojua ni kutunga uwongo tu sijui anapata faida gani[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Bora useme wewe humu watu wanatunga sana ukijaribu kuwaelewesha wanakuja na matusi kama kuna ugomvi[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16]...
Kabisa shamim alikaa karibu miaka mi 4 ndio kukutana na Nsembo
Hawa wanatoka kutokana na mapungufu ya chain of custody ya exhibit s sema tatizo wanakutana na mawakili vilaza.....Kwa kweli life imprisonment is as good as rest in peace. Hapo wasali na kuomba labda Court of Appeal wanaweza kutoka kama kuna makosa katika proceedings ya case.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mm hata siungi mkono iyo hoka ya kumuokoa
Waswahiki tunasema mkutwa na ngozi ndiye mchinjani kama mzigo ulikutwa kwake ina maana anahusika na isitoshe polisi walichunguza na wakaja na ushahidi
Alafu nasikia bidada alikuwa na msela wa awali dada akamkataa jamaa kisa hana pesa sasa hii pia ni fundisho kwa akina dada wengine yaa kuwa settle for less
Indeed Chief! “Choices have consequences!”
Daaah na kibubu nilinunua kabisaPole mwaya,kuna watu walijiunderestimate. Maana mwenzao anaweka million kwa wiki,siku. Wenyewe hata elfu kumi tu ni shida. Watu wakawa wanajidharau. Kumbe mwenzao ni drug dealer.