Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Lakini kikubwa kilichomponza Shamimu (na kitaendelea kuwaponza wengi wa kikeni nyakati hizi) ni “udada wa mujini!” NT; sio mjini ni Mujini!

She had a dream of a certain life or maybe, she had I thirst of a certain class of life!

Majuto ni Mjukuu by the way!

Yes hii ni kweli kabisaa..
bad dream yake imeangukia sehemu mbaya sana namuonea huruma kwa hili... sio mumewe
 
KWA KWELI EVERTHING IN LIFE NI CHOICE CHOOSE WISELY
Lione hili liempty set..eti choice choose wisely[emoji849][emoji849]

Ni kiingereza cha wapi hiki?

Na wewe uonekane umoo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] My ribs
 
Sijui kwanini Waislam wanapenda hii biashara,

Utawaonya mpaka utokwe na povu lakini wapi, watakuzodoa tu
 
Daaah na kibibi nilinunua kabisa

Mwenzako anashindilia kimilion we unatoa mimacho tu[emoji848][emoji848]

Ila aliniinspire vibaya mnoo[emoji122]

If you ask me to define Shamimu, I will tell you this; A home girl type with dreams to conquer the world!


Unfortunately she took it by hooks or crooks! Ikamponza!

Maisha ni Fumbo la Imani! Tulizingatie kabla ya tamaa zetu!
 
Hapo “alafu nasikia”...... I ain’t a rumor monger! Sorry Chief!

History ya Shamimu iko wazi sana! Unless you are madly lazy!
Na kweli mm ni mvivu kufuatilia habar za hawa wadada wa mujini wauza ngada.
Mm huwa naibuka nikisikia kama hivi wamepigwa nondoo .
Jela sio kifo ni sehemu ya kurekebisha tabia tu
 
Hawa wanatoka kutokana na mapungufu ya chain of custody ya exhibit s sema tatizo wanakutana na mawakili vilaza.....
Sema kama walikiri kosa na huo ushahidi ukatumika dhidi yao hapo ndio baas tena
Kama kuna makosa ya kiufundi kama unavyosema wanaweza chomoka ila sasa hyo confession ndio itakuwa shida unless wavikane waseme walitoa under coersion. Sasa wanatakiwa wapate mawakili wajanja wanaojua kucheza na sheria.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Jama kuna makosa ya kiufundi kama unavyosema wanaweza chomoka ila sasa hyo confession ndio itakuwa shida unless wavikane waseme walitoa under cohesion. Sasa wanatakiwa wapate mawakili wajanja wanaojua kucheza na sheria.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hivi uwezekano wa kuvikana upo mkuu?
 
Hawa wanatoka kutokana na mapungufu ya chain of custody ya exhibit s sema tatizo wanakutana na mawakili vilaza.....
Sema kama walikiri kosa na huo ushahidi ukatumika dhidi yao hapo ndio baas tena

Your last paragraph clears your whole statement Chief!

Ndugu Nsembo amekiri, kuchomoka ni either Msala ama Muujiza!
 
kama imethibitika kabisa pasi na shaka kwamba walikuwa ni pusha,basi hiyo hukumu pengine ni ndogo pia. Hasa ukianza kuwaangalia matejanwanavyo hangaika na drugs adiction.Pushas wanastahili huku kalo.
Kinondoni na temeke huko wamejaa pushaz kibao wanadunda

Hao akina shamimi u match know na kutaka titles za mjini kumewaponza

Kujimwambafy sio kuzuri

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Lione hili liempty set..eti choice choose wisely[emoji849][emoji849]

Ni kiingereza cha wapi hiki?

Na wewe uonekane umoo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] My ribs

PUNGUZA MAKASIRIKO [emoji38][emoji16][emoji16] WHY UNA HASIRA HIVYO KIPI KINACHOKUZONGA MAISHANI !!!?
 
Du! Hio hukumu sio mchezo,hata hivyo athari ya madawa ya kulevya kwa jamii ni kubwa sana,watoto wa watu wanakufa wengine wanakuwa vichaa
Tena wakaze hivi hivi mpaka iwe shida kuyapata. Au waongeze kidogo iwe kama kwa mwanaume Duterte kule Ufilipino kuwa ukishathibitika ni shaba tu. Haya madawa ni zaidi ya hatari !!!
 
Be responsible, si kila makosa ya mwanaume lazima zigo atupiwe mwanamke. Angeweza kuchagua njia nyingine sahihi.

Hizo ni tabia ya kuwa over ambitious, umiliki kila kitu kizuri kuanzia mke, nyumba, magari, umwamba, heshima etc. Ndizo huwapekelea watu kujiingiza katika biashara hizi.

Tabia ya kuwa over ambitious zipo kwa jinsia zote ndio maana kila leo watu hufanya mambo illegal ili wapate pesa nyingi, Shamimu ni mdada wa mjini hasa, alimuacha mume wake wa mwanzo ili aolewe na Abdul, wote walioana wanapenda makubwa kwa njia yoyote ile, here we are.
Umeongea kweli .

Wanataka kumtakatifuza huyo shamimu

Hakufanya effort zozote kumfanya Huyo mume wake aachane na hio biashara .

Hata Kama walipandikiziwa Ila haondoi ukweli kuwa walikuwa wanauza sembe hapo town

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Huyu shamim lazima nikamtoroshe gerezani, mtoto mtamu sana huyu kukaa gerezani
Na. Wewe atakupeka jela kwa namna ingine hajazoea kula ugali dagaa[emoji1] Ila kwa Sasa anakula ugali dona na maharage ya wadudu Kama kawa huko jela .

Ukimtorosha utaweza kumlisha piza kila siku unao ubavu huo[emoji1] anapensa life la akina Beyonce na rihana Huyo mdada wa mjini

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom