Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Lakini inafika ili uwe na amani moyoni, unaachia. Ni ngumu inauma sana. Lakini inafikia mahala usamehe, kukaa pasipo kusamehe nayo ni adhabu mkii
 
Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
Sasa aliwekewaje wakati upande mwingine unakiri kweli alikuwa anauza?
 
Tena huyu Shamimu alikuwa na mumewe wa kwanza very humble, tamaa mbaya sana. Alimkimbia mumewe kwa tamaa na kuolewa na muuza madawa.
Tena aliambiwa mapema sana kwamba huyo Abdul ni muuza madawa, Ila akajifanya hasikii. Leo kiko wapi, jela maisha duh hatari sana.
 
Wale sio kwamba walishanyofolewa vichwa na wachina
 
Kule IG kuna wadau wana waonea huruma watoto wa wahanga na wengine wana dai wife ni innocent

Wengine wana sema eti huyu dada alikuwa ana waambia wenzake pesa zake anazipata sababu ya kuweka ktk kibubu

Yaan ni conflict of opinions ila bado wana haki ya kukata rufaa ya hukumu ? Kama wanayo bac wafanye ivyo walau waombe wapunguziwe
 
Xi jing Ping ata kuwa analo file lao mezan kwake
 
Hawa nao. Walikubali wenyewe na barua wakaandika. Kukubali kusafirisha madawa. Sijasoma sheria ila mtu kakubali kosa kinachofuata ni hukumu kufuatana na kosa. Sheria ipo wazi. Sijui wakili wao ni nani ?Walikosea sana kufuata Mkumbo watu walipokuwa wanakiri kusafisha pesa. Nao wakajiweka kitanzini kuwa walisafirisha madawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…