Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Epuka hiyo pressure...pressure hizo zamani ziliwafanya vijana kumeza sana unga wasafirishe wengi walikufa wengine kufungwa,wako wengine mpaka leo utumbo
Zao zimeathirikaa

Ova
 
Tulidhike na tukipatacho kwa kweli, keep eyes and Hands to yourself. Ukikodolea Mafanikio ya watu utaishia kubaya bure....Uhuru ni kitu cha thamani sa maishani. Ndio Maana malaika wanatamani Free will tuliyonayo wanadamu
Inamaana malaika hawana free will

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahah falaaa Sana wewe

Dizaini Fox River au Sona au sanaa

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Inamaana malaika hawana free will

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Ni Mwanadamu pekee ameumbwa na free will. Malaika ni kama weak Artificial Intelligence ambayo inakua assigned kwa task fulani. Lakini Mwanadamu ni kama strong artificial intelligence ambayo hua much bigger kwenye task zake haipo custom assigned to do something.

Nikekujibu??
 
Na kweli naona mtoto anaweza jidhulu.. alafu tukapoteza chombo.. acha tuweke mapesaa ipigwe tunnel moja matata... [emoji3][emoji3].. na ni rahisi tufanyw mchakato wa kupata ramani ya pale ya mfumo wa maji taka. Tunapitia humo humo [emoji3][emoji3]
Falaaa Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1483]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
sasa kiongozi wa malaika anaongozaje ikiwa wote wapo under control!!!?
 
Inahuzunisha vijana wadogo kupata kifungo cha maisha huku wakiacha watoto wadogo bila wazazi,pia madawa ya kulevya yana madhara makubwa sana kwa nguvu kazi ya taifa.

Ingependeza mahakama ya mafisadi ipitie upya uhusika wa shamim kwenye huo uuzaji wa madawa naona kama ameingia mkenge kwa mgongo wa mumewe,aachiwe huru akalee watoto.
 
Why mahaka iwe na ufikirio wakati yeye hakuwa na huo ufikirio alipokuwa anakura maraha ya dunia while watoto wa wengine wanateseka?

Wacha watoto wao wateseke pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…