Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

sasa kiongozi wa malaika anaongozaje ikiwa wote wapo under control!!!?
Malaika wanaumbwa kwa kuja kufanya kazi fulani ndio maana kuna walinzi,wanao abudu na kusifu,Wajumbe...nk nk. Referring seven arch angel ambae kila mmoja ana task yake. Kama ni mlinzi basi atafanya ulinzi tu.
Lakini Mwanadamu anauwezo wa kuchagua kuishi vyovyote atakavyo.
Malaika hawawezi kuishi vile watakavyo bali vile walivyopangiwa waishi. Malaika ni strong kuliko sisi ila sisi ndio mabosi wao wameumbwa kututumikia wanadamu ila sio sisi kuwatumikia.

Ni mwanadamu pekee ndio Ana status mbili Immortal na Mortal. Means that ana mwili wa kibinaadamu unaokufa na roho ya uungu isiyokufa.
Nimekujibu??
 
Hapo kwenye sex party hapo[emoji1][emoji1483]

Hiko kipindi kunaitwaje[emoji1][emoji39]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwenye sex party hapo[emoji1][emoji1483]

Hiko kipindi kunaitwaje[emoji1][emoji39]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Kipindi kinaitwa narco wars kinapatikana national geographic channel kwa dstv.

Wee achana nao hao jamaa party zao ni balaa...sasa wee kilo $50000 umeshauza mzigo wa kilo 300....unashusha warembo wakali tupu yani ratio ya man to woman hapo ni 1:3. Mwaga cocaine, booz, chakula alafu muanze kusasambua mbususu. Acha kabisa mwana.
 
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Kwanini hukwenda kutoa ushahidi mahakamani kuwa Makonda aliwawekea haya madawa? Pia mbona nasikia mwanaume alikiri kuwa anafanya biashara ya madawa?? Mkuu acha udaku.
 
Yule Jamaa Wala hajutii kitu anadaia alijua tu .

Yule Jamaa Ni kuozea huko jela labda Huyo shamimu apunguziwe adhabu Ila sio kutolewa Leo akipigwa hata miaka 10 itapendeza [emoji1]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Una povuka sana Bila sababu relax aisee
 
Acha ushamba wewe
 
ABDUL NA SHAMIMU wote ni wauza madawa ya kulevya na walikuwa wanapeleka swadaka Masjid

Wallah hawa wenzetu Wanafiki sana...!!!

Laanakhum,
 
Daaah na kibubu nilinunua kabisa

Mwenzako anashindilia kimilion we unatoa mimacho tu[emoji848][emoji848]

Ila aliniinspire vibaya mnoo[emoji122]
Ila aliwaokota kweli,mnajisikiaje kuona role modal wenu kumbe ni muuza sembe. Nyie ni wa thamani sana kuliko huyo Shamimu. Basi tu binadamu tunaangalia utu wa nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…