Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Malaika wanaumbwa kwa kuja kufanya kazi fulani ndio maana kuna walinzi,wanao abudu na kusifu,Wajumbe...nk nk. Referring seven arch angel ambae kila mmoja ana task yake. Kama ni mlinzi basi atafanya ulinzi tu.sasa kiongozi wa malaika anaongozaje ikiwa wote wapo under control!!!?
Lakini Mwanadamu anauwezo wa kuchagua kuishi vyovyote atakavyo.
Malaika hawawezi kuishi vile watakavyo bali vile walivyopangiwa waishi. Malaika ni strong kuliko sisi ila sisi ndio mabosi wao wameumbwa kututumikia wanadamu ila sio sisi kuwatumikia.
Ni mwanadamu pekee ndio Ana status mbili Immortal na Mortal. Means that ana mwili wa kibinaadamu unaokufa na roho ya uungu isiyokufa.
Nimekujibu??