Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Acha ushamba wewe
Mshamba unamjua wewe.. au unasikia sikia tu .. tulia utaona mziki ndio utakoma kutukana watu ovyo ovyo wachawai.. lazima ni prove uchawi wangu kwako, ndio ushike adabu 🕳
 
Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
wangeshinda kesi ungesema mahakamani imetembea rushwa!!
 
Watanzania wanafiki Sana ndugu .

We angalia. Jinsi mwendazake alivyokuwa anakandamiza watu nankapoteza Sana watu kwenye msiba vimejiliza na kuzimia kabisa [emoji1]

Watz wanafiki kweli kweli

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 

Forever and for always;

Human Being = Complex Creature.

Mafungamano yako na positive & negative influences zake!

Ndio DUNIA na Maajabu yake!!!
 
Kama kuna hukumu ya mtu kuwa ‘Sadist’ basi ianze na mume wa Shamimu then Yeye Shamimu ni accomplice wa Sadist!

Easy Chief.
Wote huwa tunakosea in Life, na mtu kupatwa na janga ka mitiani ya maisha si Jambo la kufuraia
 
✔️
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Funguka kiupana zaidi hapa mkuu
 
Watanzania wanafiki Sana ndugu .

We angalia. Jinsi mwendazake alivyokuwa anakandamiza watu nankapoteza Sana watu kwenye msiba vimejiliza na kuzimia kabisa [emoji1]

Watz wanafiki kweli kweli

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ww una kipimo cha kupima feelings au uchungu wa mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…