Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Hayupo Mexico. Mara ya mwisho nilisoma yuko kwa Uncle Sam. Kule unaanzaje kutoroka?Atatoroka tuu...wee ngoja utasikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayupo Mexico. Mara ya mwisho nilisoma yuko kwa Uncle Sam. Kule unaanzaje kutoroka?Atatoroka tuu...wee ngoja utasikia
Tulia utaona moto wake usiku huu. Kiza kinene lazima nifanyw uchawi wangu.. povu litoke wapi mkuu.. nakula maisha yangu hapaUna povuka sana Bila sababu relax aisee
Mshamba unamjua wewe.. au unasikia sikia tu .. tulia utaona mziki ndio utakoma kutukana watu ovyo ovyo wachawai.. lazima ni prove uchawi wangu kwako, ndio ushike adabu 🕳Acha ushamba wewe
wangeshinda kesi ungesema mahakamani imetembea rushwa!!Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
Watanzania wanafiki Sana ndugu .Chief, vipi ile kesi ya yule mume na mkewe waliokamatwa China (sina hakika) wakiwa na mtoto mdogo na mtoto akarudishwa na ubalozi hapo nyumbani Tz, imeendaje?
Kipindi kile watu humu walisupport maamuzi ya China (?) juu ya hukumu yao ila hapa tunatetea yaleyale??
Hukutaka walie kwa sababu wewe ulikuwa humpendi?Watanzania wanafiki Sana ndugu .
We angalia. Jinsi mwendazake alivyokuwa anakandamiza watu nankapoteza Sana watu kwenye msiba vimejiliza na kuzimia kabisa [emoji1]
Watz wanafiki kweli kweli
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Ni Mwanadamu pekee ameumbwa na free will. Malaika ni kama weak Artificial Intelligence ambayo inakua assigned kwa task fulani. Lakini Mwanadamu ni kama strong artificial intelligence ambayo hua much bigger kwenye task zake haipo custom assigned to do something.
Nikekujibu??
Wote huwa tunakosea in Life, na mtu kupatwa na janga ka mitiani ya maisha si Jambo la kufuraiaKama kuna hukumu ya mtu kuwa ‘Sadist’ basi ianze na mume wa Shamimu then Yeye Shamimu ni accomplice wa Sadist!
Easy Chief.
✔️Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi (Mahakama ya Mafisadi), imewahukumu kifungo cha maisha Mafanyabiashara Abdu Nsembo na Mkewe Shamim Mwasha baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kujihusisha na dawa za Kulevya aina ya Heroin .
Pia mahakama hiyo imetoa amri ya kutaifisha mali za Wahukumiwa ikiwemo gari aina ya Discover 4 ili liwe mali za Serikali, huku dawa hizo zikitakiwa kuteketezwa.
Hukumu ya kesi hiyo namba 4 ya mwaka 2020, imetolewa Jaji Elinaza Luvanda baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili kati ya Jamhuri na Utetezi na kujiridhisha kwamba Watuhumiwa wamekutwa na hatiani katika makosa mawili ya usafirishaji dawa za Kulevya.
Wawili hao walishtakiwa baada ya kudaiwa Mei Mosi, 2019 wakiwa eneo la Mbezi Beach, Wilaya ya Kinondoni, jijini DSM kinyume na sheria ya uhujumu uchumi walikutwa na dawa hizo.
Ikumbukwe hapa JF kupitia Member wake wanawafahamu fika.
Pia soma
Tutachimba tunnel mzeyaHayupo Mexico. Mara ya mwisho nilisoma yuko kwa Uncle Sam. Kule unaanzaje kutoroka?
Watanzania wanafiki Sana ndugu .
We angalia. Jinsi mwendazake alivyokuwa anakandamiza watu nankapoteza Sana watu kwenye msiba vimejiliza na kuzimia kabisa [emoji1]
Watz wanafiki kweli kweli
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Akikutag unitagUkianzisha hyo thread Unitag mzee baba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nitunge uwongo upi na ili unisaidie nini? sasa we ma.laya mzee muuza chapati na u.chi
Wewe ndo maana unatukanwaga humu, sababu ya kimbelembele na kudandia visivyokuhusu
Ndo maana uliambiwa una michapati myeusi michafu kama wewe watu hawazitaki
Domo chafu, michapati mibaya, lione kazi kujichekesha chekesha mfyuuu..
Wote huwa tunakosea in Life, na mtu kupatwa na janga ka mitiani ya maisha si Jambo la kufuraia
Haaahaaaahaaa[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilidanga mpaka kwa week nisave hata laki ila wapi.loh angenitoa roho mwenzenu
Huyu aliliwaga kimasihara na etoo nakumbukaga zile picha za kwenye swimming pool[emoji1][emoji1][emoji1]Mboni Masimba mamaa Etoo!
Funguka kiupana zaidi hapa mkuuNi Mwanadamu pekee ameumbwa na free will. Malaika ni kama weak Artificial Intelligence ambayo inakua assigned kwa task fulani. Lakini Mwanadamu ni kama strong artificial intelligence ambayo hua much bigger kwenye task zake haipo custom assigned to do something.
Nikekujibu??
Kwa hiyo ww una kipimo cha kupima feelings au uchungu wa mtu?Watanzania wanafiki Sana ndugu .
We angalia. Jinsi mwendazake alivyokuwa anakandamiza watu nankapoteza Sana watu kwenye msiba vimejiliza na kuzimia kabisa [emoji1]
Watz wanafiki kweli kweli
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app