Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Kwani unalazimishwa ununue ngada? Kwann unamlaumu jamaa kwa kosa siyo lake?
Unadhan mwanmke alikuwa hajui MUMEWE n muuza ngada ? Nsembo kitambo Sana wakat nakaa magomeni had watoto wadogo walikuwa wanajua anauza sembe
Shamimu naye alifuata pesa ya sembe ili aendelee kuuza sura na kidanganya mabinti mjini
Ilifka wakati mademu zetu walituona hatutanyi kazi Kama akina nsembo nakutuona maboya Sasa Leo anahukumiwa watu Kama nyinyi mnaanza oo kaonewa
Vp mateja aliowaacha mtaani vijana waliokufa kwa madawa unasemaje juu ya hili
WANAWAKE NANYI N WAKATI WAKUJUA KIPATO CHA MUMEO N HALALI AU SIYO HALALI SI UNAFURAHIA TU PESA UNAJUA ZINAKOTOKA? SHAMIMU ROLE MODEL WA WENGI KALA MVUA YA MILELE JE NAWE UPO TAYARI KUUNGANA NAYE
#CHUKUAHATUA