Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Kwani unalazimishwa ununue ngada? Kwann unamlaumu jamaa kwa kosa siyo lake?
Unadhan mwanmke alikuwa hajui MUMEWE n muuza ngada ? Nsembo kitambo Sana wakat nakaa magomeni had watoto wadogo walikuwa wanajua anauza sembe

Shamimu naye alifuata pesa ya sembe ili aendelee kuuza sura na kidanganya mabinti mjini

Ilifka wakati mademu zetu walituona hatutanyi kazi Kama akina nsembo nakutuona maboya Sasa Leo anahukumiwa watu Kama nyinyi mnaanza oo kaonewa

Vp mateja aliowaacha mtaani vijana waliokufa kwa madawa unasemaje juu ya hili

WANAWAKE NANYI N WAKATI WAKUJUA KIPATO CHA MUMEO N HALALI AU SIYO HALALI SI UNAFURAHIA TU PESA UNAJUA ZINAKOTOKA? SHAMIMU ROLE MODEL WA WENGI KALA MVUA YA MILELE JE NAWE UPO TAYARI KUUNGANA NAYE

#CHUKUAHATUA
 
Nakubaliana na wewe adhabu nyingine ni too much kwa kweli nikifatilia kwa wenzzetu adhabu sio Kali ka hii jamani.

Nakubaliana na wewe adhabu nyingine ni too much kwa kweli nikifatilia kwa wenzzetu adhabu sio Kali ka hii jamani.
Hamjui dunia ilipo nyie. Jaribu kupeleka gramu 10 kwa Mchina udakwe uone Kama hujabaki historia Kwenu
 
Ni haki yao kwani wamefifisha nguvu kazi kubwa sana
Kuliko wanaofilisi inchi?

Nimegundua 70% wa Tanzania maisha yetu yanaendeshwa kwa chuki ,,wivu na roho mbaya..

Hivi kama watu 2 wamekutwa na grams 250.
Utawezaje kuwahukumu kwa kifungo cha maisha?
 
Mbona wamepewa azabu ndogo tu! China na nchi za kiarabu unanyogwa kabisa.nashangaa wale vigogo wa huu mtandao wameukumiwa miaka 6 hivi marekani kama sijakosea,kuna haja yakuchunguza mitandao hii na nchi za west
 
Unadhan mwanmke alikuwa hajui MUMEWE n muuza ngada ? Nsembo kitambo Sana wakat nakaa magomeni had watoto wadogo walikuwa wanajua anauza sembe

Shamimu naye alifuata pesa ya sembe ili aendelee kuuza sura na kidanganya mabinti mjini

Ilifka wakati mademu zetu walituona hatutanyi kazi Kama akina nsembo nakutuona maboya Sasa Leo anahukumiwa watu Kama nyinyi mnaanza oo kaonewa

Vp mateja aliowaacha mtaani vijana waliokufa kwa madawa unasemaje juu ya hili

WANAWAKE NANYI N WAKATI WAKUJUA KIPATO CHA MUMEO N HALALI AU SIYO HALALI SI UNAFURAHIA TU PESA UNAJUA ZINAKOTOKA? SHAMIMU ROLE MODEL WA WENGI KALA MVUA YA MILELE JE NAWE UPO TAYARI KUUNGANA NAYE

#CHUKUAHATUA
Miaka ya nyuma nlipokuwa nakaa kinondoni
Ukimtongoza dem anakuchomolea wao target yao sifa walikuwa wanapenda kutoka
Na wauza ngada...mwishowe wengi wao waliishia kuwa mateja

Ova
 
Sheria zetu nyingi, nyuma yake watungaji na watia saini ili zitumike wamekuwa ni watu wenye roho mbaya na wabinafsi na wenye roho za kukomoa. Hawavai uharisia wa kile wanacho kipitisha, na hawana hofu. Nilikua najua mtu anaefungwa maisha ni yule alie tishio kwa nchi au dunia.. ila hawa adhabu hiyo ina chuki na roho mbaya.. Mungu afanye mioyo ya wahusika kuwa milaoni na yenye tumaini la kumtumaini zaidi Mungu, awaondolea uzito na mawazo mioyoni mwao, aweke peace, joy and love
Bongo ilikuwa inageuka kuwa mexico
Kuna wakati wafanyabiashara hii walikuwa
Wanajihalalisha,mtaani hata watoto wadogo
Kate za unga wanazijua mpaka bei yake

Ova
 
Miaka ya nyuma nlipokuwa nakaa kinondoni
Ukimtongoza dem anakuchomolea wao target yao sifa walikuwa wanapenda kutoka
Na wauza ngada...mwishowe wengi wao waliishia kuwa mateja

Ova
Mkuu mm nimekulia magomen mzee wangu alihamishiwa hapa town kikaz nimrjifunza mengi juu ya maumivu ya ngada hasa hawa mademu walivyokuwa wanaona ufahar kuwa na wauza ngada sababu pesa ilijuwepo ss wengne tulionekana wapuuz tu lakn leo ndio wanajua ukwel mambo tasharibika Kuna demu mmoja anasakwa had leo na mamlaka ya dawa za kulevya sijui kapotelea wapi
 
Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
Kumbe ni muuzaji, sasa shida iko wap hapo?
 
Chief, try and be very honest! Never allow emotions to take over your reasoning, even for a second!

Kwamba Tanzania ndio nchi pekee yenye adhabu kali ya kufungwa miaka kuliko nchi yoyote duniani?? I disagree!
Hyo ni proved 100%
--Tanzania 125 grams kifungo cha maisha
--Saudia kunyongwa.1 kg
--Dubai miaka 15. 1 kg
--Oman miaka 10. 1 kg.
---Singapore unanyongwa. 1 kg
--Malaysia kitanzi. 1 kg
--Indonesia kitanzi. 1 kg
--Thailand miaka 30. 1 kg
--Hong Kong miaka 10. 1 kg
--China miaka 30.1 kg
--Japan miaka 15. 1 kg
--Mauritius miaka 15
--India miaka 10. 1 kg
--Kenya miaka 15. 1 kg
--Uganda miaka 15.1 kg
--South Africa miaka 15 .1 kg
--Zimbabwe miaka 15. 1 kg
---Malawi miaka 5 au faini $ 5000. 1 kg
---Europe mwaka 1 prison na pesa juu unapewa.( unakaa miezi 6 )4 kgs
---America 1 in prison. unakaa miezi 6 upo huru.4 kgs

Na wote hao wanaheshimu mazingira ya kukamatwa.
Pamoja na a kiasi cha mzigo na ukali kama ni pure heroin au pure cocaine au mixed.

Possession.-- ina dhamana kwa baadhi ya inchi mfano south.
Trafficking-- kifungo kirefu.
Dealing...kifungo kidogo nayo ina dhamana ukiwa South Africa.

Na ukikamatwa unapaswa ufungwe Mara moja.
Sio kumuweka mtu miaka 10 halafu umfunge miaka 40.

Huo ni ukosefu wa haki za mfungwa na haki za binadamu kwa ujumla.

nchi hii imeona uhalifu ni madawa tu

--Vipi wale wanaobaka watoto wetu?
--Vipi wale wanaohujumu inchi?
--Vipi wale wanaoibia na kuhujumu mapato ya serikali?
--Vipi wale wanaopokea rushwa na kupindisha sheria?
--Vipi wale wanaotuvunjia majumbani mwetu?
--Vipi wale wanaoiba kwa kutumia silaha?

Hao sio tishio kuliko madawa?
Mbona hukumu zao ni ndogo?

Au sababu kwa hayo mengine na sisi tunahusika kwa njia moja au nyingine?

Hivi utamfungaje mtu maisha kwa grams 250?
Tena mtu na mkewe?

Sheria inasema ukikutwa na grams 250 hakuna dhamana,,
250%2 sawa na grams 125 kila mmoja.

Iweje wanyimwe dhamana?
Iweje wafungwe miaka yote hiyo?

Nasubiri kwa hamu nione aliokutwa na kiroba cha $ atafungwa mingapi?
 
Mimi pia nmekulia sana sehemu za wauza ngada....nmekaaa na mabroh kitambo nao hizo zilikuwa mishe zao
Wengi wao waliishia kuwa mateja.........
Hakuna maisha f#k#n kama hayoo...
Nilijua a,b,c zote ........ningekua fala au bwege
Kuiga ningeshakuwa teja wa kutupwaaa
HAKUNA MTU AU FLA YOYOTE ANAYEWEZA NAMBIA KITU KUHUSU MADUDU HAYO
Madawa ya kulevya hayafai kabisa na ni laana tu we hujawahi sikia baba drug dealer
Inafika wakati anamfanya mtoto wake wa kumzaa mwenyewe anamsafirisha na madawa tena anammezeshaaa hahaha
Au anamsafirisha mke wake

Ova
Nashangaa hawa watu wanaoshabikia kuwa kaonewa hawajui tu huku mtaani watu walivyoharibika siku moja wajaribu tembelea yale maeneo ya meananyamala hospital na maeneo jiran waone vijana walivyoharibika

Maeneo mengne ambayo ngada imeacha maafa n Tanga nako hali s shwar ila wao baadh wamegeukia mirungi kwa kpnd hiki
 
Back
Top Bottom