Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Hata yule Top, Mbunge wa Kinondoni alitajwa kuwa ndio muingizaji wa powder nchini na wenzake watatu, wote Waislam

Kifupi Uislam hauchukulii kuwa Kuuza au kutumia Heroine n.k ni dhambi wanaita Makurughu kama sigara tu

Yaani wanaipenda hii Biashara kuliko yoyote nyingine.
 
Life in prison?

That’s a draconian sentence.

I suspect they may get a reduction on appeal.
Je unaamini Dealer mkubwa hivyo kukutwa na Madawa kwake wakati anajua msako unaendelea chini kwa chini?
 
Gramu 400 kifungo cha maisha
Sijui wale masharobalo waliokutwa na kilo 30 itakuwaje
Nadhani ni pigo kwa familia
Kuna yule aliyekamatwa na viloba kule RSA (RIP), yeye aliweza kupenya. Nafikiri biashara hii ina siri nzito sana
 
Hawa wakipaki magari kuingia misikitini wanaheshimika mpaka Sheikh anawatetemekea kwakuwa wanaingiza Swadaka na Zakat wanatoa

Wanajifanya kuona kitimoto na pombe ndio haramu ila heroine na Cocaine sio

Mijusi hii.
 
Hawa wakipaki magari kuingia misikitini wanaheshimika mpaka Sheikh anawatetemekea kwakuwa wanaingiza Swadaka na Zakat wanatoa

Wanajifanya kuona kitimoto na pombe ndio haramu ila heroine na Cocaine sio

Mijusi hii.
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787]

Kwamba kitomoto na bia ni dhambi? Ila kulegeza watoto wa watu kiakili na kiafya ni poa?
 
Bongo ilikuwa inageuka kuwa mexico
Kuna wakati wafanyabiashara hii walikuwa
Wanajihalalisha,mtaani hata watoto wadogo
Kate za unga wanazijua mpaka bei yake

Ova
Udhibiti wa jambo lolote ni muhimu, hasa yenye kuleta athari kwenye jamii
 
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787]

Kwamba kitomoto na bia ni dhambi? Ila kulegeza watoto wa watu kiakili na kiafya ni poa?
Wanafiki sana hawa kunguni.

Wakipita karibu na baa au jiko la kitimoto utasikia Astakafirullah, lakini kuua ndoto na afya za watoto wa watu hakuna astakhafirullah Maamuma hawa
 
Nje tu ya jamaa kuuwa anashiriki kwenye hizo biashara, ila siku hiyo walipigwa na askari tukio na mbaya jukawa na mkono wa mtu nyuma. Sijui ndio huyo makonda
 
IT expert hakujua athari za madawa au huyo Chid benz ? Ili swala lina penda zote muuzaji na mnunuaji, wote wana makosa.

Pia jamii inatoa elimu juu ya athari za madawa ya kulevya ila watu wamo tu, ni kama elimu ya ukimwi inatolewa ila wapu wanapiga tu peku peku kama wehu.. hapo mtu akipata la kupata ?
 
Unamuona Mzee wa watu amevimba huku chini na kanzu yake una assume kuwa ana busha kumbe ameficha kilo kadhaa za unga

[emoji851][emoji851]
 
Hapana! Shamimu kaacha ndoa yake ya kwanza kwa sababu mume alioa mke mwingine (pengine kinyume na kiapo kati yao) ?!

Kampata Nsembo way after ameachana na mume wake wa kwanza wa ndoa na kuwa ‘dada wa mujini’!
Shamimu kaanza kumvuruga jamaa kitambo Sana ndugu, acha tuu MUNGU aitwe MUNGU nisiongee sana Ila huyu mwanamama hakufikiria kuwa anatakiwa kukubali kuwa tayari ameolewa na tayari Ana mtoto pia mmewe aliekuwa mzungu mweusi mbona yan kwa kipindi kile alikula Raha za saiz yake sema mwanamke mjinga huwa aridhiki ukimpa laki anaona sio saiz yake anajiona kwenye million, ukimpa 1m anajiona kwenye 10m matokeo yake n kuumia.

MUNGU mkubwa kwayote Yale dogo yupo mikono salama kwa Baba hili wanawake wajifunze Sana ukikutana na mwanaume anajali na kuheshimu watoto wako acha vyote mfate yeye vinginevyo utajikaanga na mafuta yako mwenyewe.

Kama mzazi na Baba wa watoto hii adhabu n kubwa mno kwa mwanamke hasa mama juu ya malezi ya watoto pia inabidi kuonyesha upendo wako kwa mwanao kwa namna yoyote Ile kwakila siku MUNGU anapokupa nafasi ya kupumua.
 
We endelea tu kutingisha matiti hapo chumbani...

kwani hujaona list ya hao wauzaji wakubwa hapo wote waislam kitunguu maji wewe

Umeanza kuja kuja eeh

Kwahiyo tukusaidiaje? Kwenda huko ngurushwaini wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…