Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Niumie kwa lipi? Duniani kote huwa inajulikana.
Hao wanaosema vijana wameharibika kwa madawa (mateja) ndiyo nawashangaa. Kwani umelazimishwa ununue madawa ya kulevya ubugie?
Hao wanaosema vijana wameharibika kwa madawa (mateja) ndiyo nawashangaa. Kwani umelazimishwa ununue madawa ya kulevya ubugie?
Mahakama imehukumu mzee Kama umeumia milango iko wazi nenda mkajumuike pamoja