Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 798
- 2,028
Yan alipwe kwasababu gani? Hv mnajua madhara ya madawa ama mnasikia? Acha tu jaman wafungwe, hakuna kitu kinauma unapishana na vijana wadogo wanabembea mchana, Kama mumewe aliuza maana ake na mke anajua mume anauza wanahusika maana wao ni mwili mmoja.
Kwani hao walivokuwa wanakula hayo madawa walilazimwishwa na nani ?Nimewaza kuna watoto na vijana wangapi wamekua mateja, wamekufa, wameuwawa, wamebakwa na wengine kufungwa magerezani sababu ya biashara ya hawa watu wawili nikaishia kujijibu japo wana watoto wadogo wakapumzishwe tuu huko wanakopelekwa.
Na Mungu akawasamehe watoto wao kwa dhambi walizofanya wazazi hawa. Wakue wakiwa salama na wakiwa na amani ndani yao