Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Yan alipwe kwasababu gani? Hv mnajua madhara ya madawa ama mnasikia? Acha tu jaman wafungwe, hakuna kitu kinauma unapishana na vijana wadogo wanabembea mchana, Kama mumewe aliuza maana ake na mke anajua mume anauza wanahusika maana wao ni mwili mmoja.
Nimewaza kuna watoto na vijana wangapi wamekua mateja, wamekufa, wameuwawa, wamebakwa na wengine kufungwa magerezani sababu ya biashara ya hawa watu wawili nikaishia kujijibu japo wana watoto wadogo wakapumzishwe tuu huko wanakopelekwa.
Na Mungu akawasamehe watoto wao kwa dhambi walizofanya wazazi hawa. Wakue wakiwa salama na wakiwa na amani ndani yao
Kwani hao walivokuwa wanakula hayo madawa walilazimwishwa na nani ?
 
Nimewaza kuna watoto na vijana wangapi wamekua mateja, wamekufa, wameuwawa, wamebakwa na wengine kufungwa magerezani sababu ya biashara ya hawa watu wawili nikaishia kujijibu japo wana watoto wadogo wakapumzishwe tuu huko wanakopelekwa.
Na Mungu akawasamehe watoto wao kwa dhambi walizofanya wazazi hawa. Wakue wakiwa salama na wakiwa na amani ndani yao
Kuna wajinga wachache humu wanasema eti mateja wote wamejitakia wenyewe...hawa wazungu wa unga wana mbinu nyingi kweli...hiyo heroine mtu akikuchanganyia kwenye kitu chochote hata chakula au kinywaji mara kadhaa tu unanasa na utakuwa unataka kwenda kula kwake kila siku...ina uwezo kumfanya kuwa addicted akiitumia mara nne tu...na ndio mbinu mara nyingi hawa jamaa wanatumia...Huko kwenye mastarehe watu wanaekewa sana madude basi tu sir God naye anasaidia
 
Hao ndio wauzaji wenzie Nsembo
 
Nilichogundua huu uzi umeingiliwa na watumiaji wa hizo madawa wengi wanasapoti uuzwaju wa haya madawa bila kujua athar ambazo wameachan huku mtaani

Kama madawa haya n mazuri basi wangetumia wao wenyewe na kuwapa watoto wao lakn hukuti wakifanya haya wanataka familia za wengne ziangamie kwa kigezo cha kutafuta pesa

HALAFU Kuna hili swala wengi wanadai SHAMIMU alikuwa mtu poa usichojua wauzaji wengi wa hiz mambo hujifanya watu poa wenye huruma Sana na wanatoa misaada mingi had unashangaa siku mtu akikamatwa majiran wote wanakuwa upande wake sababu hakuonesha tabia au viashiria vya uuzaj wa ngada kitaalam tunaita kujivika ngoz ya KONDOO wakat wewe n CHUI

Kwa sisi tuliobahatika kuish maeneo yenye changamoto hizi tunajua uhalisia wa haya mambo na jins vijana wanavyoteseka tembelea SOBER HOUSE waulize waathirika wa madawa watakuambia mtiti wa kuachana na madawa ulivyo mgumu

Msidanganyike na sura upole na misaada wanayotoa hao watu mkadhan kwamba wao n wema hiyo n zuga tu wanawabrain wash ili muamini kuwa n watu salama CHONCHI alienda mbali akawa ananunua magar ya vituo vya polisi na kujaza mafuta magar yao unategemea polisi gan angeweza kumkamata kiurahis kwa network aliyokuwa nayo

Ndio maana mm namkubali Rais wa PHILIPPINES HON DUTERTE yeye n mwendo wa shaba tu hana mzaha wamexico waliiteka Philippines Kama yao kwa usambazaji wa ngada nasisi tulikuwa tunaelekea huko

Kiukwel nilipingana na the late Magufuli kwa mambo mengi ila kwenye hili la ngada nilimuunga mkono kwa asilimia zote namuomba na madam president naye akomae na biashara hii had kieleweke
 
Kuna mtu aliwaforce hao mateja kula hayo madawa ; mununuaji na muuzaji wote wanamakosa ;
 
Hahaha Mtoto wa kiume kuwa unamuonea wivu mmpanaji mwenzio ni umama ndio shida ya kuishi kwa shemej toka nje demu ww uone maisha
mtoto wa kike ni wewe unaenda kuangalia BASHA wako anavyoyoyoma......niko vema kuliko unavyofikiria.......muulize shamimu mkazwaji mwenzio......the limited ni nani....duka lake la sinza aikopa kwangu mtaji......au unataka nikwambie na kumkaza nilimkaza kizibo wewe.......walijaribu kunifool,,,,..kwanza bashako bora afungwe huyo mmachame angemuua..... am smart than ever KENGE jike wewe....hamia MOMBASA......
 
Hawa nao. Walikubali wenyewe na barua wakaandika. Kukubali kusafirisha madawa. Sijasoma sheria ila mtu kakubali kosa kinachofuata ni hukumu kufuatana na kosa. Sheria ipo wazi. Sijui wakili wao ni nani ?Walikosea sana kufuata Mkumbo watu walipokuwa wanakiri kusafisha pesa. Nao wakajiweka kitanzini kuwa walisafirisha madawa.
Ule ulikuwa Mtego wa Mwendazake Magufuli na DPP sasa hawa waliingia Mkenge! Sheria ni Ukweli na Haki. Hata kufungwa maisha Ni Haki pia. Wajaribu ku appeal
 
Ndio maana Mungu kumchoma Mwanadamu mmoja motoni ni hasara kubwa kwake
Naandika ukweli kuhusu Mola wangu.

Nimekufatilia huko juu ukituelezea habari za Malaika, ukaja kwa Wanadamu na Hayawani,mengi umeandika ya uongo isipokuwa machache sana,nikavumilia sana nikasema nikupuuze. Ila hili ka kuhusu Mola kupata kisa amemchoma Mwanadamu mmoja, uzalendo na uvumilivu ukanishinda,nikasema kwanini unamsemea UONGO na Kumzulia Mola wangu, Mola wa Ulimwengu na vyote vilivyomo.

Hasara ni katika hali dhaifu na mapungufu , Mola wetu ni MKWASI wala hapungukiwi na chochote wala hazidishiwi kitu, kwani vyote ni vyake na vipo katika milki yake. Mola wetu ametakasika na udhaifu.

Nasaha zangu kwako na kwangu na kwa wengine tusiwe tunaandika mambo tusiyo kuwa na elimu nayo, na hii ni katika tabia Njema.

Ahsante.
 
Watu kama hawa ilipaswa Serikali iwaahidi adhabu kidogo kwa makubaliano ya hawa kuutaja mtandao wao woooote kuanzia huko nje na humu ndani. Kuwatupa ndani maisha bila kuwakamua information za kutosha haitoshi
Mkuu hii vita ni ngumu mno... Unakumbuka Makonda alianzisha afu unakumbuka iliishia..
Kiukweli naunga hoja yako ila inahitaji ujasiri wa kujitoa sadaka.
 
Nilichogundua huu uzi umeingiliwa na watumiaji wa hizo madawa wengi wanasapoti uuzwaju wa haya madawa bila kujua athar ambazo wameachan huku mtaani

Kama madawa haya n mazuri basi wangetumia wao wenyewe na kuwapa watoto wao lakn hukuti wakifanya haya wanataka familia za wengne ziangamie kwa kigezo cha kutafuta pesa

HALAFU Kuna hili swala wengi wanadai SHAMIMU alikuwa mtu poa usichojua wauzaji wengi wa hiz mambo hujifanya watu poa wenye huruma Sana na wanatoa misaada mingi had unashangaa siku mtu akikamatwa majiran wote wanakuwa upande wake sababu hakuonesha tabia au viashiria vya uuzaj wa ngada kitaalam tunaita kujivika ngoz ya KONDOO wakat wewe n CHUI

Kwa sisi tuliobahatika kuish maeneo yenye changamoto hizi tunajua uhalisia wa haya mambo na jins vijana wanavyoteseka tembelea SOBER HOUSE waulize waathirika wa madawa watakuambia mtiti wa kuachana na madawa ulivyo mgumu

Msidanganyike na sura upole na misaada wanayotoa hao watu mkadhan kwamba wao n wema hiyo n zuga tu wanawabrain wash ili muamini kuwa n watu salama CHONCHI alienda mbali akawa ananunua magar ya vituo vya polisi na kujaza mafuta magar yao unategemea polisi gan angeweza kumkamata kiurahis kwa network aliyokuwa nayo

Ndio maana mm namkubali Rais wa PHILIPPINES HON DUTERTE yeye n mwendo wa shaba tu hana mzaha wamexico waliiteka Philippines Kama yao kwa usambazaji wa ngada nasisi tulikuwa tunaelekea huko

Kiukwel nilipingana na the late Magufuli kwa mambo mengi ila kwenye hili la ngada nilimuunga mkono kwa asilimia zote namuomba na madam president naye akomae na biashara hii had kieleweke
Mkuu umenena vema.
 
Hamjui dunia ilipo nyie. Jaribu kupeleka gramu 10 kwa Mchina udakwe uone Kama hujabaki historia Kwenu
Huku kwetu Mamlaka tukikukamata tunakuchinja basi, kadhia inakuwa imeisha.

Madawa siyo mazuri, mpaka nakosa msamiati wa kuyapa stahiki yake.

Pili, watetezi humu hawana hoja, zaidi ya huruma na hisia za KIPUMBAVU.
 
mfungwa wa kike hachangamani na askari wa kiume

mfungwa wa zaidi ya miaka10 hawezi kumalizia kifungo gereza1 so watazunguka magereza Tanzania hadi wakome

jela wote n sawa tuu ila pesa inaweza kukufanya ukaepuka magenge ya kazi ngumu hapo ni baada ya kusota sana

zaidi ya punyeto(tena usishikwe maana toilet unaingia kwa muda maalumu na unajisaidia kwa muda uliopangiwa na kierehere wa toilet sasa zidisha muda au fosi uone nguvu ya kierehere na nyapara)

hukumu ikishatoka hakuna wa kukuonea huruma myb rufaa au msamaha wa raisi(huu unakujaga na masharti na maranyingi wabakaji na ma pusha auwahusu)

na wakati wa kuingia ukipata nguo mpya mshukuru mungu maana zitakusogeza hata 2yrs hivii msishangae kesho kumkuta nsembo na shati ilorauka na suruali haieleweki ni gauni au pensi

wanawake wanaraha magereza yao ni masafi na chakula chao ni kizuri na hawafanyi kazi ngumu!!!
*mahakamani ni fact sio blabla asa bora hakimu kuliko jaji .
 
Sijui Kuna kaukweli hapo, Ila list ya ma-tycoon wa madawa wote ni wa upande huo na wote Sasa hivi wako kwenye mikono salama
  • Ally khatib Haji "shkuba"
  • Mharami Mohamed Abdallah "chonji"
  • Yakubu Adam "kanyau"
  • Abuu salehe "kimboko" Don wa mbagala
  • Omary yangayanga
  • Ayoub Kiboko "kiboko"
  • Abdul Nsembo
  • Hussein mafisi

Kanyau walimpata [emoji848]mbona nilipitwa na hii
 
Back
Top Bottom