Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

U mean msamaha wa rais hauwahusu rapist n drug dealer?[emoji848]
 
Tena nasikia nsembo alikuwa bwana wa shoga ake shamimu (mboni) ndio bibie akaolewa naye kabisa....Kama ni kweli mboni amshukuru Mungu kumuepusha na Shari hii

Likuepukalo lina heri nawe [emoji120]
 
U mean msamaha wa rais hauwahusu rapist n drug dealer?[emoji848]
Nguvu ya Rais ipo popote
km Nguza na Mwanaye waliachiwa kwanini huyu Bi dada asikomae kuwa Makonda kachomekea ngada akidai papuchi. Mama ni Mama atatoa msamaha tusubirie tu
 
So kwenye bata huwa tunamiksiwa hivi vitu eeh?

Ntaanza kuwa makini na marafiki zangu[emoji848]
 
Unamuona Mzee wa watu amevimba huku chini na kanzu yake una assume kuwa ana busha kumbe ameficha kilo kadhaa za unga

[emoji851][emoji851]
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hivi we jamaaa una nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Chaaa mbona kama kuna kastor hapa
 
Unadhani Mungu anafaidika au kufurahia kumpeleka mwanadamu motoni..!?
Hafaidiki na chochote wala hapendi,ila anapotaka jambo liwe linakuwa japo hapendi. Mola wetu ana vitu hivi :

1. Wills (Mashiat)
2. Wants (Iradah)
3. Love (Mahabbah)
 
Badala hata mtoe historia kidogo tu ya huyo nsebo na shamimu walivyoanza kuuza ngada au hata mtandao wao tu! Mnakaz ya kuonyeshana ubabe tu
 
Je kwanini nikisema ni hasara kubwa kwa Mungu mwanadamu mmoja kwenda jehanam nakua nimekosea kwa mujibu wako????
Referring your Quote above
Kutokupenda na hasara ni vitu viwiki tofauti.

Unakuwa umekosea kwa sababu hizi.
1. Umesema uongo yaani umeandika uongo

2. Mola ni mkwasi, yaahi hapotezi waka hapungukiwi.
 
Licha ya Abdul Kukiri kwa DPP asamehewe haijasaidia kitu.
Hapo ndio alipojikamatisha...bora angekana kabisa unga sio wake, wamempandikizia...mwanasheria wake sijui alimshauri vipi..sema za mwizi ni arobaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…