Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Butimba Mwanza?

Na mumewe anapelekwa wapi?
 
Shamimu ataachiwa na mahakama ya Rufaa, kwakuwa hakujua kama mume wake ni PUSHA.
shamimu amewekwa hatiani kwakuwa alikuwa anamkingia kifua mumemwe of which kwa wanandoa ni kitu cha kawaida.
 
Wengine inabidi kukaa kimya maana tutaonekana tuna wivu. Ila nachoweza kukuambia ni kuwa huyo shamimu humjui vizuri
Tatizo wabongo ukiwa na hela watu watakupa heshima,kukubabaikia wao hawajali unapataje hela
Ona juzi wale masharo na visista duh walivyopandishwa kisutu wasani wa bongo
Movie na machawa wa mjini walienda kuwalilia

Ova
 
Mama Samia aendelee hapo hapo alipoishia magu kwenye Hawa wauza ngada
Hivi mwinyi machapta bado hawajamkamata tu?
 
Hivi hawa huwa wa kifa wana kabidhiwa ndugu zao au huwa inakuwaje mkuu?
Hawa wa kifungo cha maisha
 
Kwanini hukwenda kutoa ushahidi mahakamani kuwa Makonda aliwawekea haya madawa? Pia mbona nasikia mwanaume alikiri kuwa anafanya biashara ya madawa?? Mkuu acha udaku.
Hata mie nashangaa jamani
 
Tatizo wabongo ukiwa na hela watu watakupa heshima,kukubabaikia wao hawajali unapataje hela
Ona juzi wale masharo na visista duh walivyopandishwa kisutu wasani wa bongo
Movie na machawa wa mjini walienda kuwalilia

Ova
Utasikia mtoto wa flani ni smart
 
Tamaa mbaya huyo demu alimuacha jamaa na mtoto wa kike akaenda kuolewa na wauza unga sasa kiko wapi?
Tujifunze kurithika na tulivyonavyo tamaa mbele mauti nyuma
Yaani aliacha msomi. Jamaa kasoma na sister zangu pale Shycom then akasoma pale UDSM Bcom .Yule kaka alishaoa. Shamimu akaenda kwa wa la saba mtaka shortcut huyu mtu wa magomeni muuza unga. Tena Shamimu atakuwa anajutia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…