Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Mmhh kwani ni msagaji yule, hebu funguka zaidi.Atasagana sana sasa huko kuna majike yana nyege hayo?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhh kwani ni msagaji yule, hebu funguka zaidi.Atasagana sana sasa huko kuna majike yana nyege hayo?!!
Havutii? [emoji16][emoji16] Kwanini?Shamimu simshangai kumuacha huyu baba maana hatujui yaliyokuwemo na huwa sishauri kukaa kwenye vitu visivyoekeweka,ila mwanaume darasa la saba hata awe na pesa bado havutiii
Hukumu kubwa kuliko international convections on narcotic drugs inavosemaMahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi (Mahakama ya Mafisadi), imewahukumu kifungo cha maisha Mafanyabiashara Abdu Nsembo na Mkewe Shamim Mwasha baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kujihusisha na dawa za Kulevya aina ya Heroin .
Pia mahakama hiyo imetoa amri ya kutaifisha mali za Wahukumiwa ikiwemo gari aina ya Discover 4 ili liwe mali za Serikali, huku dawa hizo zikitakiwa kuteketezwa.
Hukumu ya kesi hiyo namba 4 ya mwaka 2020, imetolewa Jaji Elinaza Luvanda baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili kati ya Jamhuri na Utetezi na kujiridhisha kwamba Watuhumiwa wamekutwa na hatiani katika makosa mawili ya usafirishaji dawa za Kulevya.
Wawili hao walishtakiwa baada ya kudaiwa Mei Mosi, 2019 wakiwa eneo la Mbezi Beach, Wilaya ya Kinondoni, jijini DSM kinyume na sheria ya uhujumu uchumi walikutwa na dawa hizo.
Ikumbukwe hapa JF kupitia Member wake wanawafahamu fika.
Pia soma
Mimi la 7Ninae mwenye masters ana nieheshimu vizuri tu kasoma Akiwa kwanguShamimu simshangai kumuacha huyu baba maana hatujui yaliyokuwemo na huwa sishauri kukaa kwenye vitu visivyoekeweka,ila mwanaume darasa la saba hata awe na pesa bado havutiii
Ni aje mremboooWewe hebu tulia. Ikute mimi ni dada yako. Heshima mbele ujue.
Wanaandaa wateja wa baadae..Heroine hatari sana...Rapper DMX mama yake alikuwa anatumia wakati ana mimba yake (crack baby)...madhara yake dmx amekuja kuwa teja ukubwani (late 30s au early 40s)...ujanani kote kapita freshUnajua ilifika mahali wakawa wanauza pipi za unga mashuleni,hapo napo alaumiwe mtoto wa darasa la tatu anayekula pipi au ubuyu?
Ukiona mwanamke anamuheshimu mwanaume anajielewa huyo mwanaume na tofauti na hapo ni kinyume chakeMimi la 7Ninae mwenye masters ana nieheshimu vizuri tu kasoma Akiwa kwangu
Naweza pata picha ya DMX kwa sasa? 🤔Wanaandaa wateja wa baadae..Heroine hatari sana...Rapper DMX mama yake alikuwa anatumia wakati ana mimba yake (crack baby)...madhara yake dmx amekuja kuwa teja ukubwani (late 30s au early 40s)...ujanani kote kapita fresh
Nakwambia hivi ata wasokome dushelele kwenye marinda yangu kama sijafanya kitu mie sikiri ng'ooo....wee niue tuu.Unajuaje walimminya poumbou akiri
Sijui kwanini Waislam wanapenda hii biashara,
Utawaonya mpaka utokwe na povu lakini wapi, watakuzodoa tu
Mwili wanakabidhiwa ndgHivi hawa huwa wa kifa wana kabidhiwa ndugu zao au huwa inakuwaje mkuu?
Hawa wa kifungo cha maisha
Hapo sasa kumbe mtu full magumashiUtasikia mtoto wa flani ni smart
Si alimuona fala hna kituYaani aliacha msomi. Jamaa kasoma na sister zangu pale Shycom then akasoma pale UDSM Bcom .Yule kaka alishaoa. Shamimu akaenda kwa wa la saba mtaka shortcut huyu mtu wa magomeni muuza unga. Tena Shamimu atakuwa anajutia sana.
Duh kama namuona almarhum Abdul msomali enzi zake waqt umekwenda wapi!Mchpta alikula kona...alikuwa ashanza kjenga gorofa like pale nyuma ya mwanmbka home alone muda naona limesimama
Ila h.p kali ndy yuko sgednce
Machpta mshnz sn
Ova
Yaah nimekumbuka mbali sana na mshkaji wake ippy (ipiana )Dah abdul msomali alikuwa balaa
Unajua yule asili yake msenegal lkn
Mamaee yule alimfanya anko wng mmja
Mpk akawa teja.....na watoto fulani wa mikochen
Ndg yngu alikuw baharia miaka hiyo madawa
Bongo watu hawajayashtukia,
Ukiwakuta wamejifungia ndani si kpiga mistari....alikuwepo na kibo. M cheki msomi tajir kama yy lkn alikuwa anapnga balaaa
Mwishowe ilimuathiri hd kmchkua uhai
Life ya ngada+matumiz f#k#n sanaaa
Bonge la laanaa
Ova
Mademu wakali Abdul alikuwa akiwafungulia salon kali waqt huo ndio ilikuwa mtama kwa watoto mambo hayo.Dah abdul msomali alikuwa balaa
Unajua yule asili yake msenegal lkn
Mamaee yule alimfanya anko wng mmja
Mpk akawa teja.....na watoto fulani wa mikochen
Ndg yngu alikuw baharia miaka hiyo madawa
Bongo watu hawajayashtukia,
Ukiwakuta wamejifungia ndani si kpiga mistari....alikuwepo na kibo. M cheki msomi tajir kama yy lkn alikuwa anapnga balaaa
Mwishowe ilimuathiri hd kmchkua uhai
Life ya ngada+matumiz f#k#n sanaaa
Bonge la laanaa
Ova
Shamimu simshangai kumuacha huyu baba maana hatujui yaliyokuwemo na huwa sishauri kukaa kwenye vitu visivyoekeweka,ilala mwanaume darasa la saba hata awe na pesa bado havutiiiYaani aliacha msomi. Jamaa kasoma na sister zangu pale Shycom then akasoma pale UDSM Bcom .Yule kaka alishaoa. Shamimu akaenda kwa wa la saba mtaka shortcut huyu mtu wa magomeni muuza unga. Tena Shamimu atakuwa anajutia sana.
Kuna kitu kinapunguaHavutii? [emoji16][emoji16] Kwanini?
Mwinyi tangu Makonda kaondoka yuko mjini,ila mtulivu naona anasoma ramaniMchpta alikula kona...alikuwa ashanza kjenga gorofa like pale nyuma ya mwanmbka home alone muda naona limesimama
Ila h.p kali ndy yuko sgednce
Machpta mshnz sn
Ova
DuhMwinyi tangu Makonda kaondoka yuko mjini,ila mtulivu naona anasoma ramani
Katoka rehab amenenepa sana, ungeona picha za miaka kama mitano hivi iliyopitaNaweza pata picha ya DMX kwa sasa? [emoji848]