Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Hukumu iliyotolewa ni kali kupita kiasi. Wangepunguziwa kidogo hata kifungo cha miaka 7 na faini. Mawakili wao wasaidie kwa kweli.
Ili warudi wakaendelee kuwauzia unga vijana mateja wawe wengi watu tukabwe daily na vijana waendelee kufa ie Ngwair na Langa.
Tumia common sense basi.
 
...Na Hapo ndio tuna pot of autism a na Wenzetu waliondelea!
Sisi tunapokamata Mdukuzi anayeiba hela kupitia mitandao tunamfunga maisha...
Lakini wenzetu anaweza kuajiriwa jata na Benki husika, kama sio FBI, ili kusaidia katika kupambana na Udukuzi!
Ndio tunapotofautiana!!
Acha kuleta story za kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
Sasa mtu anajua mumewe muuza ngada kwanini hakureport

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Angekaza tu mzee baba. CCTV camera kitu gani. Hazina sauti na hazitoi detaiz za ulichonacho .. hata kama unga kwa CCTV bado nakukataa labada kama CCTV zinazo scan na ku display details za mzigo ila hizi za kawaida na kukataaa tu. Ligi ingemtoa kwenye kifungo cha maisha.. sasa Shamimu ndio atomb.wi tena hadi afie huko ? au wanatutania
Atakuwa mali ya bwana jela

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
We ulikuepo wakati anawekewa madawa?
 
kwani upelelezi wa shauri uliwahusu me/ke au m1?

vipi matokeo ya upelelezi?

kumzuia ofisa wa serkali kufanya kazi ni kesi ndogo na sidhani judge hakuliona hilo

af fatilieni.... rufaa zilizotoka kwa majaji ni ngumu kumchomoa mtu

mkiidharau dcea mtaisha bila kuamini
Aseee
 
Siku hizi DCEA wanajaribu ondoa loopholes za wao kushindwa kesi
 
Hiko chuma bwana jamaa ana wanyoosha kweli kweli nakumbuka lile action alilo lifanya kule arusha wazee wananpanda milima kama hiece imekamata lami....
Action nyingine alivyo wadaka wale jamaa pale kimara, jamaa walikuwa na mzigo mkubwa na waliujengea min base ila mkali wa kazi aliwanyakua.

Hakika kiongozi ana stahili kongole ...
Wale wa Kimara nao wasubirie Maisha.
Pamoja na yote hayo bado watu wanaendelea na hiyo biashara
 
kunawatu wanawadharau dcea niwaàmbie tuu huko hakuna kilaza na hawabaatishi kazi

fact:ukitaka kujua hawajamaa ni noma angalia idadi ya kesi walizopeleka mahakamani na kushinda
Hawawezi shindwa sababu kwa sasa wamepewa mbinu na vitendea kazi, ulinzi wa kutosha na mengine mengi.

Wakikudaka huchomoki kamwe
 
Back
Top Bottom