Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi (Mahakama ya Mafisadi), imewahukumu kifungo cha maisha Mafanyabiashara Abdu Nsembo na Mkewe Shamim Mwasha baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kujihusisha na dawa za Kulevya aina ya Heroin .

Pia mahakama hiyo imetoa amri ya kutaifisha mali za Wahukumiwa ikiwemo gari aina ya Discover 4 ili liwe mali za Serikali, huku dawa hizo zikitakiwa kuteketezwa.

Hukumu ya kesi hiyo namba 4 ya mwaka 2020, imetolewa Jaji Elinaza Luvanda baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili kati ya Jamhuri na Utetezi na kujiridhisha kwamba Watuhumiwa wamekutwa na hatiani katika makosa mawili ya usafirishaji dawa za Kulevya.

Wawili hao walishtakiwa baada ya kudaiwa Mei Mosi, 2019 wakiwa eneo la Mbezi Beach, Wilaya ya Kinondoni, jijini DSM kinyume na sheria ya uhujumu uchumi walikutwa na dawa hizo.

Ikumbukwe hapa JF kupitia Member wake wanawafahamu fika.

Pia soma
Hukumu kubwa kuliko international convections on narcotic drugs inavosema
 
Unajua ilifika mahali wakawa wanauza pipi za unga mashuleni,hapo napo alaumiwe mtoto wa darasa la tatu anayekula pipi au ubuyu?
Wanaandaa wateja wa baadae..Heroine hatari sana...Rapper DMX mama yake alikuwa anatumia wakati ana mimba yake (crack baby)...madhara yake dmx amekuja kuwa teja ukubwani (late 30s au early 40s)...ujanani kote kapita fresh
 
Naweza pata picha ya DMX kwa sasa? 🤔
 
Yaani aliacha msomi. Jamaa kasoma na sister zangu pale Shycom then akasoma pale UDSM Bcom .Yule kaka alishaoa. Shamimu akaenda kwa wa la saba mtaka shortcut huyu mtu wa magomeni muuza unga. Tena Shamimu atakuwa anajutia sana.
Si alimuona fala hna kitu

Ova
 
Mchpta alikula kona...alikuwa ashanza kjenga gorofa like pale nyuma ya mwanmbka home alone muda naona limesimama
Ila h.p kali ndy yuko sgednce
Machpta mshnz sn

Ova
Duh kama namuona almarhum Abdul msomali enzi zake waqt umekwenda wapi!
 
Dah abdul msomali alikuwa balaa
Unajua yule asili yake msenegal lkn
Mamaee yule alimfanya anko wng mmja
Mpk akawa teja.....na watoto fulani wa mikochen
Ndg yngu alikuw baharia miaka hiyo madawa
Bongo watu hawajayashtukia,
Ukiwakuta wamejifungia ndani si kpiga mistari....alikuwepo na kibo. M cheki msomi tajir kama yy lkn alikuwa anapnga balaaa
Mwishowe ilimuathiri hd kmchkua uhai
Life ya ngada+matumiz f#k#n sanaaa
Bonge la laanaa

Ova
Yaah nimekumbuka mbali sana na mshkaji wake ippy (ipiana )
 
Dah abdul msomali alikuwa balaa
Unajua yule asili yake msenegal lkn
Mamaee yule alimfanya anko wng mmja
Mpk akawa teja.....na watoto fulani wa mikochen
Ndg yngu alikuw baharia miaka hiyo madawa
Bongo watu hawajayashtukia,
Ukiwakuta wamejifungia ndani si kpiga mistari....alikuwepo na kibo. M cheki msomi tajir kama yy lkn alikuwa anapnga balaaa
Mwishowe ilimuathiri hd kmchkua uhai
Life ya ngada+matumiz f#k#n sanaaa
Bonge la laanaa

Ova
Mademu wakali Abdul alikuwa akiwafungulia salon kali waqt huo ndio ilikuwa mtama kwa watoto mambo hayo.
 
Yaani aliacha msomi. Jamaa kasoma na sister zangu pale Shycom then akasoma pale UDSM Bcom .Yule kaka alishaoa. Shamimu akaenda kwa wa la saba mtaka shortcut huyu mtu wa magomeni muuza unga. Tena Shamimu atakuwa anajutia sana.
Shamimu simshangai kumuacha huyu baba maana hatujui yaliyokuwemo na huwa sishauri kukaa kwenye vitu visivyoekeweka,ilala mwanaume darasa la saba hata awe na pesa bado havutiii
Havutii? [emoji16][emoji16] Kwanini?
Kuna kitu kinapungua
 
Mchpta alikula kona...alikuwa ashanza kjenga gorofa like pale nyuma ya mwanmbka home alone muda naona limesimama
Ila h.p kali ndy yuko sgednce
Machpta mshnz sn

Ova
Mwinyi tangu Makonda kaondoka yuko mjini,ila mtulivu naona anasoma ramani
 
Back
Top Bottom