Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Taratibu. Zipo camera zente sauti
 
Shamimu ataachiwa na mahakama ya Rufaa, kwakuwa hakujua kama mume wake ni PUSHA.
shamimu amewekwa hatiani kwakuwa alikuwa anamkingia kifua mumemwe of which kwa wanandoa ni kitu cha kawaida.
Eti hakunini ?Wakati alijua kabisa mmewe kajificha dalini. Akawadanganya maafisa kuwa kasafiri.
 
Mchpta alikula kona...alikuwa ashanza kjenga gorofa like pale nyuma ya mwanmbka home alone muda naona limesimama
Ila h.p kali ndy yuko sgednce
Machpta mshnz sn

Ova
Machaptaa hapo katisha Sana, yupo nchi gani au ni siri?
pamba Kali habari zake nilipata kuwa yupo huko.
Ila mwambieni yule dada bonge wa kule mbezi chini aache hizo mishe, kuna siku watamdandia
 
Shamimu ataachiwa na mahakama ya Rufaa, kwakuwa hakujua kama mume wake ni PUSHA.
shamimu amewekwa hatiani kwakuwa alikuwa anamkingia kifua mumemwe of which kwa wanandoa ni kitu cha kawaida.
kwani upelelezi wa shauri uliwahusu me/ke au m1?

vipi matokeo ya upelelezi?

kumzuia ofisa wa serkali kufanya kazi ni kesi ndogo na sidhani judge hakuliona hilo

af fatilieni.... rufaa zilizotoka kwa majaji ni ngumu kumchomoa mtu

mkiidharau dcea mtaisha bila kuamini
 
Punguza kujudge ndugu yangu
 
usiombe kukutwa na bwana Pepsi [emoji116]
 
usiombe kukutwa na bwana Pepsi [emoji116]View attachment 1740803
Hiko chuma bwana jamaa ana wanyoosha kweli kweli nakumbuka lile action alilo lifanya kule arusha wazee wananpanda milima kama hiece imekamata lami....
Action nyingine alivyo wadaka wale jamaa pale kimara, jamaa walikuwa na mzigo mkubwa na waliujengea min base ila mkali wa kazi aliwanyakua.

Hakika kiongozi ana stahili kongole ...
 
kunawatu wanawadharau dcea niwaàmbie tuu huko hakuna kilaza na hawabaatishi kazi

fact:ukitaka kujua hawajamaa ni noma angalia idadi ya kesi walizopeleka mahakamani na kushinda
 
Hukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo

Uwapunguzie ili iweje, kumbuka hawa ni sawa na mashetani tu....wameharibu watoto wa wenzao wangapi huko mitaani? Shamimu alionywa sana na wenzake kuhusu huyu jamaa muuza unga, hakutaka kusikia alifuata maisha ya maigizo ili awatambie wenzake. She knew very well kuwa jamaa ni muuaji na muharibifu wa binadamu wenziwe eti leo mnamuonea huruma. She got what she deserved.
 
Huyo jamaa sijui alikua pusha wao maana anaonekana kuumizwa na hukumu ilihali anakili walikua wanauza unga.
Ubaya wa hii biashara unaweza kula na system ya wana usalama kwa kitambo kirefu mno, ila uongozi ukibadilika tu unaliwa kichwa chapu, kuna ambao walisanuliwa kuwa mambo sio wakaushe ila huyu bwana anaonesha alikuwa na asili ya kiburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…