Kabisa anakuwa na upeo mdogo sana wa akili, hata kuanalse mambo inakuwa ishu!Shamimu simshangai kumuacha huyu baba maana hatujui yaliyokuwemo na huwa sishauri kukaa kwenye vitu visivyoekeweka,ilala mwanaume darasa la saba hata awe na pesa bado havutiii
Kuna kitu kinapungua
Mi naona anafanana na Mbowe wa chadema, unaweza sema mdogo akeSema jamaa anafanana na dr cheni
Mkuu huyu ni Nani???Shida kubwa nikwa Watoto wao bado wadogo.... View attachment 1740885
Haaaaa Haaaaa 😂, Hakika hakuna pesa rahisiSio kubwa wanaharibu vijana.
Wanafanya sisi wengine tusemwe kuwa hatujishughulishi kama wengine
Mmh hiyo feni chafu sana mmhShida kubwa nikwa Watoto wao bado wadogo.... View attachment 1740885
Ah chief wale lazima maana walikutwa na mzigo mzitoo na ilisemekana jamaa walifukuzwa mara ya kwanza wakatoroka sasa ile ilikuwa ndio siku ya 40 yao sijui huko waliko wana hali ganiWale wa Kimara nao wasubirie Maisha.
Pamoja na yote hayo bado watu wanaendelea na hiyo biashara
Kweli we ni Kim Jong, haaaa 😁 familia nzima iuliwe kwa kosa la. Mtu mmojaNa wanaokufa kwa kutumia madawa ya kulevya mitaani hawana watoto ?
Msituletee ujinga hujawa na ndugu yako alieathirika kwa madawa ya kulevya. Ningekuwa raisi familia yako inabidi iuliwe Kama ukikutwa na madawa ya kulevya ..
Watalelewa na ndugu mbona hamna shida, kwan hawa madogo na wao wana tumia ngada kama watoto wa wenzao walivyo kuwa wakiwauzia ?Shida kubwa nikwa Watoto wao bado wadogo.... View attachment 1740885
Karibi JF mkuuShida kubwa nikwa Watoto wao bado wadogo.... View attachment 1740885
Na nyiemchangie hata buku mbili za kibubu bnaMkome kutudharau tusio na mijihela
Nyie Mabush Lawyer hamnaga common sense kabisa.Nani kakudanganya adhabu haipungui kama una watoto wanakutegemea?? Sheria inayo huruma ndio maana kuna wakati wa mitigation. Kuna sababu zinazofanya adhabu ipungue. Hapo itakua inaangaliwa mitigating factors vs aggravating factors na sheria inatoa ukomo gani wa adhabu kwa kosa hilo lilofanywa.
Umefatilia lakini nilichokua nakijibu au umeamua kuropokwa asubuhi asubuhi.Nyie Mabush Lawyer hamnaga common sense kabisa.
Sasa ushaambiwa minimum sentence ni life imprisonment......sasa unaMitigate ili iweje??? Kama sio kupoteza muda?? Sheria ipo very clear adhabu life behind bars sasa itakupunguaje??
Ushasoma Minimum Sentence Act, 1972?????
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kupractice nini sasa??? Mimi sio Lawyer ila i know the letters of the law.Umefatilia lakini nilichokua nakijibu au umeamua kuropokwa asubuhi asubuhi.
Hata kesi za murder ambayo adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa wana mitigate. Mitigation ni swala lililowekwa kisheria huwezi kulikwepa haijalishi adhabu imewekewa ukomo kiasi gani na hiyo Minimum Sentence Act uliyoitaja. Na baada ya kumitigate mtoa maamuzi atatoa maamuzi yake na kama sheria inamfunga atasema pia ingawa maombi ya kupunguziwa adhabu yana mashiko ila sheria ina mfunga.
Haya mambo utaelewa ukianza kupractice mdogo wangu. Sasa hivi endelea kusoma madesa kwanza.
Na hiyo Sheria uliyoitaja ukiisoma wewe inatosha maana mimi umesema ni bush lawyer na sina common sense nikasome nini sasa.
Kupractice nini sasa??? Mimi sio Lawyer ila i know the letters of the law.
Wewe ndie unayesema wamitigate.....wakati hata ukimitigate haipunguzi kitu. Unaanza kuleta mambo ya mitigating na aggravating factors hapa tukuone wewe msomi.
Mitigation maana yake ni ulie lie ili mahakama ikuonee huruma ili ikupunguzie adhabu.....sasa unajua kabisa hata ukilia machozi ya damu....adhabu ndogo kuliko zote utayopata ni life behind bars .....utakua na akili timamu kweli ukifanya mitigation wakati unajua it helps nothin??
Better save yo ass for the Appeal, fella!
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hapo three only ways out.Hapo kupunguziwa adhabu mpka wakae hata ndani sio chini ya 15 years ndio unaweza kubahatisha kutoka kwa msamaha wa Rais
Kama sio lawyer kaa kimya. Halafu ungefatilia hiyo comment yangu ilipoanzia ungeelewa.Kupractice nini sasa??? Mimi sio Lawyer ila i know the letters of the law.
Wewe ndie unayesema wamitigate.....wakati hata ukimitigate haipunguzi kitu. Unaanza kuleta mambo ya mitigating na aggravating factors hapa tukuone wewe msomi.
Mitigation maana yake ni ulie lie ili mahakama ikuonee huruma ili ikupunguzie adhabu.....sasa unajua kabisa hata ukilia machozi ya damu....adhabu ndogo kuliko zote utayopata ni life behind bars .....utakua na akili timamu kweli ukifanya mitigation wakati unajua it helps nothin??
Better save yo ass for the Appeal, fella!
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake